Jamani Tanzania yetu!!

Mwanakili90

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,568
245
wanajamii,

Nimekuwa nikitafakari kwa mapana na marefu juu ya taifa letu kuwa ombaomba duniani ukiondoa Iraq na afganistani yenyewe ndio ya kwanza.

Ivi kweli wanajamii even somalia wanatushinda na hawana amani?

Jamani wanajamii even sudani?
Masikini Tanzania yetu!
 
Back
Top Bottom