Jamani TANESCO!

Msendekwa

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
442
168
Yani mnakata umeme wkt mi naendelea kufuatilia bunge huku nikimngoja waziri mkuu azungumze.
PM jiuzuru tu, sina suluhu nanyi tena!
 
Niko Bariadi, saa moja kamili O'clock wamekata.
Bila shaka ni hujuma, wananchi tusijue wanavyofunika madudu.
Nimejongea bar ya jirani, ndo naendelea kufuatilia hotuba ya waziri mkuu atakayejiuzuru kwa nguvu ya umma, ht km sio leo bungeni.
 
Immigration ya wapi?
Au kwa yule mbwa wa Sumbawanga mwenye jina hilo aliehukumiwa kunyongwa na mahakama mwaka ule wa 1997?

ni maeneo ya Imigration, AICC na Mount Meru mkuu siyo kwenye ofisi zao
 
Back
Top Bottom