Jamani star times kulikoni?

pig man

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
292
319
Wanajamii hope mko poa, ninauliza kama kuna yeyote mwenye taarifa juu ya kwanini ving'amuzi vya star times haviko hewani tangu janakwa sisi wakazi wa Mwanza. yaani hakuna hata channel moja inayopatikana, alafu mbaya zaidi wahusika wamekaa kimya. kweli katika ulimwengu huu wa ushindani wa kibiashara hii iko sawa?.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom