Jamani sijielewielewi juu ya my super handsome boss!!! Ushuri please!!!

Hivi kunakingine nyuma ya pazia au nini kilichokuudhi kiasi hicho juu ya uzi huu Wa Lara we King'asti? Mbona sioni kosa lolote alofanya binti Wa watu mpaka kukutoa mishipa ya shingo kiasi hicho? Hili ni jukwaa ka burudani kuna story za kutungwa na ukweli as long as zinaleta raha shida iko wapi?

Kwa nini kama thread haijakufurahisha usiipotezee tu kuliko kimshambulia kwa hasira kiasi hicho binti Wa watu kama kakunyang'anya mume? Sijapenda kabisa unavyofanya kwa kweli. Siyo vizuri kujiona kuwa wewe ni bora siku zote kuliko wengine. We huwa ni mtata sana huwa naona michango yako mingi. Wanawake mpendane jamani lol

Hajui kwamba watu wa humu ni great thinker wanaobserve tu kweli tangu nikiwa guest humu huyu dada amekuwa ananishangaza anavyoshambulia wenzake hata wenye share hawabehave hivi,ndo mana nimeuliza kwa uhalisia ukoje/ngoja nikupotezee ameuliza sensa thanks God ameipata
 
...Mkuu BT mambo habari yote iko hapa. Bado binti anamzimia handsome boy. Ajiwahi kurudisha majeshi kabla vibinti vingine havijapandisha bendera.

Sasa nimezoea ofisi na nimeanza kupata miumbea ya mule kumbe 90% ya vidada mule vinamzimia kinoma, kila siku kumnunulia chakula, si kumpa lift, si kumualika drinks jioni nae anakula tu vyote, hana hiana! mi huu umbea umeniuma kinomaaa! sijui kwanini wakati kumpenda simpendi, wivu sina ila roho yaniuma!Basi kila nikiwaona wapinzani wanagombea jimbo roho yanitoka! Nimebaki nataka huku sitaki.

Asprin unaitwa huku........... uje na Dark City, Kaizer pamoaja na bepari la kihaya Bishanga....maana Bishanga ndo chanzo cha thread hii bila kumsahau BAK mawaidha yenu yanahitajika huku...
 
Ha ha ha, umenistua kidogo
Hiyo sentesi ya mwisho, neno la mwisho, kabla ya o, nilidhani pana k lol

jmushi atakuwa bize na siasa baada ya haya mauza uza ya waandishi atakuja kukupeleka tu

Huyo EMT mwambie nammiss, mie ni rafiki tu
Maybe bossi wako ndio wake pia, youb never know
Tena amesema boss wake ni handsome, watch out!
Hivi The Boss alikua UK? Au Mkuu Max alikua UK?
EMT namwanzishia thread sasa. I miss him more!
 
Unamjua boss wangu hapa nilipo???

Alikuwa China, Akaenda Trindag and Tobago, Akaenda USA via UK

Kamwamnzishie basi, hata mie I miss him sana.

Kwanza nimuulize lara 1: Huyu Boss wako ndie Max?
Au kuna vya max, na kuna vya bossi wako, haviingiliani?
Kama ni watu wawili tofauti basi Kongosho be keaful!
Thread ya EMT naanzisha kesho usiku (weather permitting)
 
Last edited by a moderator:
Max na boss wake is the same person

Huoni kuna mahali ansema 'nshomile means mhaya'
Kwani hujui kabila la Max wewe??

Think Mwali Think

Jana niliangalia BBC Weather Forecast
Leo kutakuwa na baridi kwa ajili ya kuanzisha sred ya mtu uliyem-miss
Mie kuna watu wawili nawaanzishia sred ila PM

Nani na nani wao unao waanzishia thread? Nambie na mimi.
Wengine wapo humu humu na ma ID mapya, usidhani hawapo
Haya sasa: Kama Max ndie Boss, basi huyu mtu ni Moderator
Tuangalie tu mods wapya ni kina nani, tutamjua alter ID yake
wakamalizane huko huko ofisini kwao, no need to put us in the loop.
Kuhusu thread, leo nalala nyumbani, hakuna net. Hakuna hata umeme
Kesho nipo night shift, naweza tumia internet ya mkoloni kupost uzinzi
Mi nilisoma pale kwa makinni sana.
 
Nani na nani wao unao waanzishia thread? Nambie na mimi.
Wengine wapo humu humu na ma ID mapya, usidhani hawapo

Yaani wewe kuniuliza tu hivi, naumia moyoni

Haya sasa: Kama Max ndie Boss, basi huyu mtu ni Moderator
Tuangalie tu mods wapya ni kina nani, tutamjua alter ID yake
wakamalizane huko huko ofisini kwao, no need to put us in the loop.
:popcorn:tayari kwa hii movie nzuri sana:pop2:

Kuhusu thread, leo nalala nyumbani, hakuna net. Hakuna hata umeme
Kesho nipo night shift, naweza tumia internet ya mkoloni kupost uzinzi
Mi nilisoma pale kwa makinni sana.

Pole wee, kwenu hakuna net hata ya msaada wa wamarekani??
basi mie leo full kutongoza na uzinzi
Hadi kieleweke, kama mimba zinapita thru PM kesho niandalie ndimu kabisa
 
Yaani wewe kuniuliza tu hivi, naumia moyoni
poleeee. maybe huyu kapotea kweli, usijali...

Kuhusu mods, mi nisha mjua mod mpya anae mfia boss wake @Max
:tea: halloooooo!

Pole wee, kwenu hakuna net hata ya msaada wa wamarekani??
basi mie leo full kutongoza na uzinzi
Hadi kieleweke, kama mimba zinapita thru PM kesho niandalie ndimu kabisa
Mi nafanya kazi kwa mchina, hakuna internet.
Hiyo mimba ikiingia na ukija kuzaa mwite mwana JamiiForums
 
Nawasalimu wakuu!

Ya jana yamepita jamani nimenusurika BAN, namshukuru mola, ila sijakata tamaa, najua MM the F ana play HARD TO GET, na mimi I HAVE ALL THE TIME TO WAIT, sieti hata nyie wakiume mkimtongoza mtu mara ya kwanza mnajua tu cha mbavu na za uso lazima ila hamkati tamaa? Na mimi nakomaa, mpaka ani PM.

Back to the point, mwenzenu nakofanyia kazi huku kuna Bosi wangu Super Handsome!!!!! afu hajaoa wala hana demu mule ofisini ila mapoziii mengi na hivi karudi kutoka masters U.K kujifanya high class wkt za chini ya kapeti zinadai alikuwa mbeba boxi tu huko majuu cheti kachakachua. Full kuninyanyasa na hiki kielimu changu cha kuungaunga cha UDSM, Sinywi maji! sijambi kwa raha! kabla sijaambiwa YOU HAVENT SEEN THE WORLD! nakuwaje mdogo na hivi hata nairobi sijawahi kufika??

Nilivomuona mara ya kwanza kwenye interview badala ya kuwaza jinsi ya kupata hiyo kazi nijikwamue na njaa kali ya kitaa nikawa nimepagawa mtoto, miswali migumu siiwezi nabaki kumpa killer smile tu! akawa haelewi huyu binti 0 kichwani ansmile nini badala ya kutiririsha utirio, out of kindness tu akawa ansmile back. Hamad kazi nikapewa mie nikaanza na mshawasha kweli!. Nikajua tu hapa hii kazi ushahidi tu kanileta tuburudike amasivyo wale intervieew wengine vilaza zaidi yangu.

Wiki ya kwanza tu baada ya kupewa mishushu na makavu livee oblongata ikatulia sasa nikajua tu hamna kuburudika wala nini mwendo wa kazi tuuu! Ila uvunguni mwa moyo wangu bado ule mshawasha ukabakia ila kila nikipewa shushu unapungua mpaka ukaisha kabisaa. Nikajiaminisha vita nimevishinda na pepo la ngono zembe limeshindwa na limelegea.

Sasa si ndo Boss Super Handsome akaniambia nanifeel na tudate kama i feel him too ( tongoza za deportees hizo hawabembelezi sanaaa) Nikakumbuka mishushu na I HAVENT SEEN THE WORLD nikaona ligi nzito, maji ya shingo siyawezi nikamchomolea. Nikamwambia simfeel wala nini achukue time. Basi nshomile hakunibembeleza wala nini ila akaniomba nisvujishe ishu ofisini kuwa nimempa cha mbavu. Nikamwambia usihofu.

Sasa nimezoea ofisi na nimeanza kupata miumbea ya mule kumbe 90% ya vidada mule vinamzimia kinoma, kila siku kumnunulia chakula, si kumpa lift, si kumualika drinks jioni nae anakula tu vyote, hana hiana! mi huu umbea umeniuma kinomaaa! sijui kwanini wakati kumpenda simpendi, wivu sina ila roho yaniuma! Basi kila nikiwaona wapinzani wanagombea jimbo roho yanitoka! Nimebaki nataka huku sitaki.

KITAALAMU HIVI NINA SUMBULIWA NA NINI? NINI TIBA?

Babu asprini nipe uzoefu wako inaonekana umekula chumvi nyingi umeona mengi!!!!

Ukome na mambo yako ya sitaki nataka Erotica...ukisusa wenzio wala
 
Last edited by a moderator:
Kawaida yenu mkitokewa mnakataa lakini mkimwona mtu kuna dalili ya wengine wenye nia ya dhati wanammendea ndo nyie mnaibuka tena na kutaka kuanza ligi upya, mtu akiwa hana mnakataa akiwa na wake tu kila mtu jicho hilo. Nadhani una ugonjwa wa NATAKA SITAKI
 
What the heck! Girl you are fired![/QUOTE

Kazi kupata kazi! Ila kufanya kazi ni kazi kuliko kutafuta kazi!

Thubutu yakeeeeee! Akinifire naenda Takukuru kusue for sexual bribery japo in reality ni the deal that went wrong!!!:doh:
 
Kawaida yenu mkitokewa mnakataa lakini mkimwona mtu kuna dalili ya wengine wenye nia ya dhati wanammendea ndo nyie mnaibuka tena na kutaka kuanza ligi upya, mtu akiwa hana mnakataa akiwa na wake tu kila mtu jicho hilo. Nadhani una ugonjwa wa NATAKA SITAKI

Ok Doctor! Tiba yake nini haswaaa? Na inakuaje ujiskie kutaka na kutokutaka?
 
Wewe mgeni ofisini ni hicho kilichokupeleka hapo au kazi umeshaambiwa YOU HAVE NOT YET SEEN THE WORLD bado unasubiri kwa matumaini kuwa atakuibukia. Onyesha uko strong na msimamo la sivyo utaingia kudharauliwa na kubaki kichekesho. Acha kuchanganya kazi na mapenzi na ndio maana nchi yetu inazidi kudidimia kiuchumi; mapenzi kafanyie mtaani kwenu baada ya saa za kazi acha kuharibu muda wako wa kufanya kazi kumfikiria mtu ambaye akilini mwake haupo..

Nashukuru kwa ushauri
1.Ukiwa unafanya kazi kama yangu lazima utafute diversion kidogo a.k.a kazi na dawa, if ya so tight unaweza kwenda kumwambia bosi i quit now! now! Afu si unajua tena kazi heshima mjini. Mapenzi, majungu, umbea vyote hivo ni divertion tu ili tuweze kusurvive kazini.
 
Ok Doctor! Tiba yake nini haswaaa? Na inakuaje ujiskie kutaka na kutokutaka?

Hii kitu ni natural inaweza tokea hata kwako, pindi unapokuwa single unahitaji kuwa na wako wa ubani kunakuwa hakuna mtu ambae amefikia vigezo anakufuata (wanakuja wa ovyoovyo) lakini once unapopata mtu utashangaa sasa wanaibuka watu kibao wenye vigezo mpaka unajiuliza walikuwa wapi na ndio maana hata wewe imekutokea jamaa ametuma maombi ukamwona wa kawaida lakini walipoanza kutokea wengine wivu ukatokea, hapo piga kimya kwanza na endelea kuonyesha ushirikiano na huyo bosi wako huenda akarudi kwa mara ya pili kusisitiza kama ukweli haupo interested nae (akija mara ya pili hapo utakuwa umetafakari vya kutosha nadhani utakua na jibu zuri whether in kukubali au kibuti)
 
Back
Top Bottom