Jamani sijielewielewi juu ya my super handsome boss!!! Ushuri please!!!

HApo pekundu umenikumbusha machungu yangu
Kweli, it s not fun kabisa
Kila nikijiangalia naogopa tu.

And waste my bundle to read crappy stuff like yours? When a dull mind says a joke nobody laughs! I need to remove this pop-up blocker in my mind so that I can see 'useless' from afar! Growing old aint fun, I promise u!
 
Nawasalimu wakuu!

Ya jana yamepita jamani nimenusurika BAN, namshukuru mola, ila sijakata tamaa, najua MM the F ana play HARD TO GET, na mimi I HAVE ALL THE TIME TO WAIT, sieti hata nyie wakiume mkimtongoza mtu mara ya kwanza mnajua tu cha mbavu na za uso lazima ila hamkati tamaa? Na mimi nakomaa, mpaka ani PM.

Back to the point, mwenzenu nakofanyia kazi huku kuna Bosi wangu Super Handsome!!!!! afu hajaoa wala hana demu mule ofisini ila mapoziii mengi na hivi karudi kutoka masters U.K kujifanya high class wkt za chini ya kapeti zinadai alikuwa mbeba boxi tu huko majuu cheti kachakachua. Full kuninyanyasa na hiki kielimu changu cha kuungaunga cha UDSM, Sinywi maji! sijambi kwa raha! kabla sijaambiwa YOU HAVENT SEEN THE WORLD! nakuwaje mdogo na hivi hata nairobi sijawahi kufika??

Nilivomuona mara ya kwanza kwenye interview badala ya kuwaza jinsi ya kupata hiyo kazi nijikwamue na njaa kali ya kitaa nikawa nimepagawa mtoto, miswali migumu siiwezi nabaki kumpa killer smile tu! akawa haelewi huyu binti 0 kichwani ansmile nini badala ya kutiririsha utirio, out of kindness tu akawa ansmile back. Hamad kazi nikapewa mie nikaanza na mshawasha kweli!. Nikajua tu hapa hii kazi ushahidi tu kanileta tuburudike amasivyo wale intervieew wengine vilaza zaidi yangu.

Wiki ya kwanza tu baada ya kupewa mishushu na makavu livee oblongata ikatulia sasa nikajua tu hamna kuburudika wala nini mwendo wa kazi tuuu! Ila uvunguni mwa moyo wangu bado ule mshawasha ukabakia ila kila nikipewa shushu unapungua mpaka ukaisha kabisaa. Nikajiaminisha vita nimevishinda na pepo la ngono zembe limeshindwa na limelegea.

Sasa si ndo Boss Super Handsome akaniambia nanifeel na tudate kama i feel him too ( tongoza za deportees hizo hawabembelezi sanaaa) Nikakumbuka mishushu na I HAVENT SEEN THE WORLD nikaona ligi nzito, maji ya shingo siyawezi nikamchomolea. Nikamwambia simfeel wala nini achukue time. Basi nshomile hakunibembeleza wala nini ila akaniomba nisvujishe ishu ofisini kuwa nimempa cha mbavu. Nikamwambia usihofu.


Sasa nimezoea ofisi na nimeanza kupata miumbea ya mule kumbe 90% ya vidada mule vinamzimia kinoma, kila siku kumnunulia chakula, si kumpa lift, si kumualika drinks jioni nae anakula tu vyote, hana hiana! mi huu umbea umeniuma kinomaaa! sijui kwanini wakati kumpenda simpendi, wivu sina ila roho yaniuma! Basi kila nikiwaona wapinzani wanagombea jimbo roho yanitoka! Nimebaki nataka huku sitaki.

KITAALAMU HIVI NINA SUMBULIWA NA NINI? NINI TIBA?

Babu asprini nipe uzoefu wako inaonekana umekula chumvi nyingi umeona mengi!!!!

Hehehe... umeandika vizuri sana, seriously nimependa. Alafu you sound very naughty girl...aaaaghhh. Tuliza akili fanya kazi. Unaweza kuta huyo bosi wako ni mngese....au atakuchafua tu.... your type ni bad boys kama wewe ulivyo.
 
Asprin unaitwa huku........... uje na Dark City, Kaizer pamoaja na bepari la kihaya Bishanga....maana Bishanga ndo chanzo cha thread hii bila kumsahau BAK mawaidha yenu yanahitajika huku...

Mhhhhh, Mdogo wangu BT,

Niko nashuhudia kazi ya mikono ya mwenye nguvu....Kwa mtaji huu, nikiri tu kuwa hakuna sayari ambayo binadamu hatakaa afike!!

Bahati nzuri matokea ya match ni predictable!

Babu DC!!
 
Bizare bwana desktop usiku huu! watu tuko na I PAD 3 bana umekuja 25th august ungeona huko nyuma nilikuwa nazisupply hapa bongo. Jukwaani nipo toka enzi za JAMBO FORUM maybe nikukaribishe wewe, sema ndo BAN kila siku nachukua new ID

so u could be above 35,huh?
 
Hata mie yangu macho tu

Mie nilidhani ni Bishanga, maana kasema nshomile

Kama ni huyu huyu, yuko mwingi kama bahari
Na huwa haishi

:gossip:( Nimekumiss, msalimie EMT na jmushi1 )

Nini kinaendelea hapa? mi sijaelewa vya ban na vya UK niaje...
Huyu handsome boss anae tajwa, sio The Boss wetu jamani?
Kongosho, umemsoma Lara? I think huyu boss namjua!
 
Last edited by a moderator:
Hata mie yangu macho tu

Mie nilidhani ni Bishanga, maana kasema nshomile

Kama ni huyu huyu, yuko mwingi kama bahari
Na huwa haishi

:gossip:( Nimekumiss, msalimie EMT na jmushi1 )
Ah, jmushi1 toka siku ile alisema atanialika restaurant sijamuona
EMT ndie tuko nae hapa tunakunywa soda za moto (ana mafua)
Nimepata wazo lingine: Ukute huyu ni Mod, kamzimikia bossi wao!
 
Last edited by a moderator:
so u could be above 35,huh?

35 paleseeeeeeeeee! Yani 35 niwe bado na do interviews? God spare me! Im in my 20's and im planning to enjoy every bit of it. Aaaaah 20'S the best years of a girls life. 30's is the beggining of the end.
 
  • Thanks
Reactions: b2k
Wewe mgeni ofisini ni hicho kilichokupeleka hapo au kazi umeshaambiwa YOU HAVE NOT YET SEEN THE WORLD bado unasubiri kwa matumaini kuwa atakuibukia. Onyesha uko strong na msimamo la sivyo utaingia kudharauliwa na kubaki kichekesho. Acha kuchanganya kazi na mapenzi na ndio maana nchi yetu inazidi kudidimia kiuchumi; mapenzi kafanyie mtaani kwenu baada ya saa za kazi acha kuharibu muda wako wa kufanya kazi kumfikiria mtu ambaye akilini mwake haupo..
 
Ha ha ha, umenistua kidogo
Hiyo sentesi ya mwisho, neno la mwisho, kabla ya o, nilidhani pana k lol

jmushi atakuwa bize na siasa baada ya haya mauza uza ya waandishi atakuja kukupeleka tu

Huyo EMT mwambie nammiss, mie ni rafiki tu

Ah, jmushi1 toka siku ile alisema atanialika restaurant sijamuona
EMT ndie tuko nae hapa tunakunywa soda za moto (ana mafua)
Nimepata wazo lingine: Ukute huyu ni Mod, kamzimikia bossi wao!
 
Back
Top Bottom