Jamani selection za A-level zinatoka lini?

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
745
633
Nimehtimu kdto ch IV mwka jana nina point 24 na credit tatu ninazo,civ-C,his-A,eng-C,kisw&geo-D! Tatzo nina wacwac cjabalance! Hebu niambieni wanaJF,nitachaguliwa? Mana'ke pressure haijashuka bado!
 
Utapata shule usihofu mwaka huu matokeo hayakua mazuri, fanya kujiandaa tuu.
 
kweli haya matokeo ya madogo yanatupa pressure sana, dogo nahisi asipopata post ya serikali atanifilisi mwaka huu, ana 3 ya point 24 na kombi za PCM, PCB, PGM na EGM ana C moja moja kila kombi, yaani amepata C ya B/maths, C ya Biology, C ya Civics na C ya Kiswahili, sijui km watamchukua aisee. anyway, nazingatia ushauri wa SIZINGA
 
Back
Top Bottom