Jamani Sasa Tupeleke Macho Na Masiki Ngorongoro

Nachelea kusema hili lakini ukweli ni kuwa pamoja na kuipenda nchi yangu ninathubutu kusema kuwa imeoza!! Naanza kukosa imani straight away if this lady as a minister anaweza kufanya mabadiliko!! Mungu saidia!
 
Haya maelekezo yana undani wa ujio? au ni yale...Karibu!!! Anyway yangu ndio hayo macho na masikio nafikiri ndio kukubaliana na rejea.

Mimi nauliza hakuna sera za za uadilifu katika mageti haya yanayofunguka? Nguru-Ndoto haina ndoto ya kuwa waadilifu , sio tu wa kazi, bali hata matakwa yanayokuja na uadilifu? Why such a leakage?
 
Back
Top Bottom