Jamani Pinda vipi hilo shati nyuma?

Hawa sijui ata wanaogopa nini ata kushindwa kujiamini na kutoa caron monoxide na mashati yao kupepea? Mie maamuzi ya mkuu wa kaya kuwa kimya dhidi kuchukua hatua dhidi ya mafisadi.. Kina ngereja, malima, jairo, pius m na kashfa ya wanyama pori, cag, el, ra, ec yani sio siri nahisi ata ktk katiba ijayo iwekwe kuwa ni haki kumdharau mkuu wa kaya wa aina hii, pia, kumzomea akipita, ata kumponda na mayai viza iwe ni haki ya msingi kwa raia wa tanzania kwa mkuu wa kaya mzembe kiasi hiki... Log off
 
Itakuwa ameweka kisu kwa nyuma kwa ajili ya kuvulia lile gamba lililogomea kiunoni
 
Kikwete, mwache Waziri Mkuu aendelee na kazi zake na viongozi wengine, kwani lazima wakufate aiport? Watawala wetu ni kama vi-chifu vya kienyeji sometimes aaaah! Halafu unasababisha traffic snarls za bure, viongozi wote kukufata airport na kukurudisha Ikulu inafunga njia za miji masaa hadi matatu wakati mwingine. Hii inazorotesha ufanisi na uchumi wa nchi. Jk we si ni mchumi, kwanini hupati picha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom