Jamani Pandeni Dala dala...kuna raha yake

UN wamesha declare internet kuwa haki ya kila mtu ..... afterall nowadays a bundle of internet 400MB is TZS 2500 per month, and if you use jf and other mail services it can last for three weeks

haina maana mtu anayetumia internet maisha ni mazuri kwake

Be realistic hapo kwenye red
The truth remain that using the Internet currently means that you must have the facilities(mobile phone/computer) and manage the cost for the service in question.
I am not sure if you might think of paying for the internet service bill or buying voucher for internet service package while you are not sure of your tomorrow in terms of "daily meal".............
 
Mkuu ... mbona kama unakremu .... internet inapatikana kwenye simu za viganjani na hata siyo lazima umiliki pc ndiyo unaweza access internet... waweza kwenda cafe na kupata huduma hii unapoihitaji kama vile unavyokwenda hospitali au polisi pale unapoumwa au unapofanyiwa uhalifu ..... sasa hivi hata matokeo ya mitihani hutolewa kwa internet .... siyo lazima kila mwananchi awe na internet access .... kama ilivyo siyo kila mwananchi ana bomba la maji .... wengine huenda kuchota maji kwa jirani na kwenye madimbwi na mito

utawasikia wanajf humu wakiulizana nifungue mradi gani wa milioni 20, natafuta shamba mbweni,prgramu fulani haingii kwenye laptop yangu, na mengine mengi mkuu rejao uko sahihi!
 
Bado hujaweka point muhimu sana kwenye hii thread yako!
Ulisikia maongezi gani kwenye daladala?
Lakini pia kuwashauri watu wapande daladala ni maajabu kwangu, maana ndiyo usafiri wa kila siku wa 70% ya wanaJF hapa!
Sijakuelewa!

mimi naona tusi kabsa...haina tofaut na marie antonnente alivyowaambia wananchi wa ufaransa..km mmechoka kula keki basi kulen mihogo...wakat wenzao wankufa na njaa ata iyo mihogo awaipata..yeye akajua anavyotumbua mikeki ikulu basi ufaransa nzima wnakula keki...

naelewa alitaka aseme nin bt still t sound tusi cz asilimia kubwa umu TWATUMIA DALADALA..
 
Jana mida ya jioni nilipanda dala dala kutoka maeneo ya Mwenge nikielekea Mbagala. Kama tunavyojua, kuna umbali mrefu kati ya maeneo haya!
Nimezoea kuona Shutuma nyingi sana dhidi ya serikali hapa jamvini lakini hizi zilikuwa kiboko!
Hapa jamvini watu tumekuwa tukiilaumu serikali na maisha magumu kwa mtanzania lakini kwa niliyoyaona jana nimegundua kuwa watu wengi hapa tuna fake! Haturepresent true picture ya hali halisi! Mtu utasemaje una maisha magumu wakati una uwezo wa kutumia Internet kukoment hapa JF 24/7?
Kwenye dala dala walikuwa real, na walichoongea kilikuwa na mguso wa aina yake!
Nawashauri pandeni dala dala mkitaka kujua mengi! Ilinigarimu tu 500 kutoka Mwenge mpaka Mbagala

TUNAFAKE NIN?MI NADHAN WEWE ULIKUWWA UNAONA WANAOPANDA DALADALA HAWAPO CONCIOUS NA SIASA NA UCHUMI UNAVYOENDELEA SA ULIVYOONA WANADISCUS NA UKACOMPARE NA JINSI WALIVYO NDO UKAJISEMEA DUU..AWA KWELI WWANASHIDA..

1.AKUNA ANAYEFAKE CZ kila mtu anaface ugumu wa maisha kwa nafasi yake..wewe labda unanalaMika mafuta yamepanda bei yanakubana daily kutoka kibamba mpk posta lita ndo iyo inaelekea 2500..apo utalalamika serikali inabana/MAISHA MAGUMU...wakat yeye analalamika nauli ya 500 kubwa toka mwenge mpk mbagala, unga umepanda bei,sukari imepanda bei toka kipimo cha kikombe cha chai sh 500 mpk 700...yeye mafuta ayamgusi direct wakat wewe pia tatizo la unga /sukar kwako si issue cz unanunuaga kwa jumla supamaket so ata ikipanda unachukulia poa

yeye analalamika maisha magumu cz michango shulen imemzidi..daily mtoto inabd apeleke mia 300 shule wakat wewe watoto wako wapo kenya ,kampala,st marys wanasoma kwa raha na wakirud unamkod tcha aje kuwafundsha seblen kwako uku wakiwa na juic pemben..wewe lbda utalalamika ahh tsh imeshuka sana VS dola...lakin utawalipia wanao

wat i wan say iz UGUMU WA MAISHA UMETOFAUTIANA KUTOKANA NA MUDA NA KIPATO/ELIMU NA KAZI BINI KIPATO CHA MTU..

KM AMBAVYO MENG AAWEZ KUGOMBANA NA KAKOBE LAKIN
KAKOBE ATAGOMBANA NA RWAKATARE
MENG NA MANJ
SLAA NA KIKWETE
CHADEMA NA CCM
UWEZ KUKUTA CCM NA CHAUSTA MAENDELEO WAKAGOMBANA
UGOMV WA WEST N EAST COAST UWEZ KUTA EAST COAST WAKAGOMABANA NA MARIAH CAREY...
boby marley awez gombana na dolly parton lakin angeweza gombana na akina tosh,burning spear...

ahh naenda kula then nkapande daladala niende pugu mie!!!!!!!!
 
Jana mida ya jioni nilipanda dala dala kutoka maeneo ya Mwenge nikielekea Mbagala. Kama tunavyojua, kuna umbali mrefu kati ya maeneo haya!
Nimezoea kuona Shutuma nyingi sana dhidi ya serikali hapa jamvini lakini hizi zilikuwa kiboko!
Hapa jamvini watu tumekuwa tukiilaumu serikali na maisha magumu kwa mtanzania lakini kwa niliyoyaona jana nimegundua kuwa watu wengi hapa tuna fake! Haturepresent true picture ya hali halisi! Mtu utasemaje una maisha magumu wakati una uwezo wa kutumia Internet kukoment hapa JF 24/7?
Kwenye dala dala walikuwa real, na walichoongea kilikuwa na mguso wa aina yake!
Nawashauri pandeni dala dala mkitaka kujua mengi! Ilinigarimu tu 500 kutoka Mwenge mpaka Mbagala

lakin kweli ukitaka kujua whats hapen...panda daladala utapata summar zote juu ya yaliyotokea...kuanzia chibuda kafanyaje sjui mpk wema sepetu kaonekana uchi stejin...
 
ni kweli kabisa wengi humu jf tunatoka jamii ya tatu (3rd world families) ila kuna watu wana hali ngumu zaidi ya tunavyotegemea, juzi tu nlikuwa naenda tegeta kupita shortcut ya mbezi mwisho, kama 2km kutoka mbezi mwisho nkaombwa lift, kwa kuwa ilikuwa pick-up nkawaaambia mmoja aje mbele. katika kupiga story nkagundua jamaa wanaenda bunju, kuuliza vizuri jamaa akaniambia imewalazimu kutembea sababu hawana nauli, na inawabidi wafike huko ili waendelee na kazi yao ya uashi walioiachia kati. nlishikwa na huruma sana, umbali walikwishatembea ni mkubwa sana, yani ikanibidi niwape buku tulivyofika tegeta, wakashuka kwenye gari, cha ajabu hata hiece hawakupanda tena, wakaendelea safari kwa mguu, nkasimamisha gari tena nikiwa naelekea shell, nkawauliza vipi tena na ela nimewapa, wakaniambia itawalinda na sembe. nkachoka kabisa. ni kweli tuna maisha magumu ila yanatofautiana kwa hali kubwa sana.
 
Bado hujaweka point muhimu sana kwenye hii thread yako!
Ulisikia maongezi gani kwenye daladala?
Lakini pia kuwashauri watu wapande daladala ni maajabu kwangu, maana ndiyo usafiri wa kila siku wa 70% ya wanaJF hapa!
Sijakuelewa!

sikubaliani na hiyo asilimia!umejuaje??tukubaliane kutokukubaliana wakuu,lakini mpaka inafikia una access na JF almost everyday,basi ujue kwa maisha ya kibongobongo,nawe uko kwenye ka class flani hivi!
 
Nini kinatafasiri maisha magumu na maisha sawa. Mimi nafikiri umeme wa uhakika, maji y auhakika, hakuna foleni, bei za bidhaa bei ya chini kabisa ili hata muuza chochote apate huduma. Ulaya internet ni kama maji hata hapa kwetu voda una pata 500 cheka internet kwenye simu yako la laki au elfu 70. Je hapo hakuna umeme, hakuna maji hakuna usafiri wa uhakika mafuta juu hata kama un blackberry na 1GB internet access na zile huduma za mhm hazipo ni sawa na bure hata kama unalala kwenye gorofa pale UBUNGO PLAZA
 
UN wamesha declare internet kuwa haki ya kila mtu ..... afterall nowadays a bundle of internet 400MB is TZS 2500 per month, and if you use jf and other mail services it can last for three weeks

haina maana mtu anayetumia internet maisha ni mazuri kwake
nielekeze bac kukununua hili bundle
 
Hii post ni npumba tupu nashangaa Mods wamelala kazini,
Paw, Invisible au Silencer hebu toweni hii post ina upupu mwingi nimesoma kutoka mwanzo mpaka mwisho naona ujinga mtupu hapa kwenye hii post. Maajabu walahaifutwi.
 
Jamani huwa najifanya uso wa mbuzi lakini mwisho nachemsha, naishia kutabasam mwamnzo mwisho, watu wana coment za ajabu, usiombe ukute wanabishana halafu hawana uelewa tosha wa hilo swala. Utacheka mwanzo mwisho. Ila yote ya yote utagundua watu wamechoshwa na hali ngumu ya maisha na wapo wanasubiri mkombozi.
 
UN wamesha declare internet kuwa haki ya kila mtu ..... afterall nowadays a bundle of internet 400MB is TZS 2500 per month, and if you use jf and other mail services it can last for three weeks

haina maana mtu anayetumia internet maisha ni mazuri kwake

huo mtandao gani una bei poa hivyo jamani, manake ninaotumia mimi ni bei mbaya.......... nitaarifu please ili na mimi nitumie,...(natumia kompyuta sio simu)
 
Ni ipi inatisha kati ya hizi?Ama kweli Nyani haoni mgongowe!
avatar7660_7.gif
avatar23356_4.gif
masikini mbavu zangu weeeeee hahahahahahahahah MAHOKAAAAAAA! WALAHI tena NIMECHEKA VIBAYA
 
Bado hujaweka point muhimu sana kwenye hii thread yako!
Ulisikia maongezi gani kwenye daladala?
Lakini pia kuwashauri watu wapande daladala ni maajabu kwangu, maana ndiyo usafiri wa kila siku wa 70% ya wanaJF hapa!
Sijakuelewa!

Mkuu ata PUMBA sijaonja hapa kusema kweli!!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: LAT

Similar Discussions

Back
Top Bottom