Jamani nyuma RAHA!!!

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Jamani nyuma raha!!! tena RAHA kweli kweli asikwambie mtu.. nyuma raha .. wachanipasifie, nisipo pasifia atapasifia nani tena, yeyote mwenye kuujua VIZURI UTAMU wa nyuma!!... hebu kumbuka hapo nyuma .. soda ilikuwa Sh. 50/= mafuta ya kula robo sh. 100/= sabuni ya kipande sh. 30/=, unga robo sh. 150/= ......... acha tu huko nyuma.. we acha tu!!
 
mimi naona mbele ndio raha ebu acha nipasifie,mbele raha jamani,sasa hivi soda 600 lakin ni rais sana kupata hiyo ela,nyuma ata siyo raha acha nipakandie,nyuma soda ilikuwa 50 lakin kuipata hiyo 50 ilikuwa shuguli
 
Mm nyuma na mbele naona sawa sababu nyuma bei ilikuwa chin na hela ilikuwa na thaman kubwa ila kuipata mbinde, mbele vitu bei juu hela imeshuka thaman ila kuipata ni simple
 
Mada hii ni utata mtupu! Hata kama tuna utajiri wa maneno ya kucheza na lugha lakini haya!!!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Mm nyuma na mbele naona sawa sababu nyuma bei ilikuwa chin na hela ilikuwa na thaman kubwa ila kuipata mbinde, mbele vitu bei juu hela imeshuka thaman ila kuipata ni simple
Nimeipenda sana hiii, kwikwikwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwi
 
Lakini mkumbuke kuwa nyuma za wazungu ndo mbele zetu sisi wa-Afrika.
 
Back
Top Bottom