Jamani nna swali nijibuni..

Kupendwa huwa kuna raha zaidi, ila inategemea unapendwa na nani! Ni usumbufu na mara nyingine ni kero sana kupendwa na usiye mpenda! Haujawahi ku-experience hii hali?
utajuaje kama unapendwa? au hata kama kiusanii? (ishakuwa poa poa tu)
kupenda kuna uhakika
 
Mapenzi huwa hayajifichi, ni kama kikohozi! Mtu akiwa anakupenda utajua tu unless uwe si mtu wa kujichanganya na watu na kuwa mvivu wa kubaini vitu!
 
Ivi kupenda na kupendwa kupi kuna maraha?

....kupenda....

Kama dereva, nikiamua naongeza, napunguza au naegesha na kushuka...

.....kupendwa.....

Hujijui thamani yako, unaburuzwa tuu...hujielewi elewi unapendajwe...
Wala hujijui 'umependwa' au umetamaniwa tu...
 
tunaongea lugha moja Mbu
 
Last edited by a moderator:
Kupendwa huwa kuna raha zaidi, ila inategemea unapendwa na nani! Ni usumbufu na mara nyingine ni kero sana kupendwa na usiye mpenda! Haujawahi ku-experience hii hali?

Kwa maana hiyo kupendwa sio raha kama hujapenda!!
Raha na utamu zaidi unakuja pale unapopenda na kupendwa kwa wakati ule ule, au vipi HorsePower?
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa shemeji yangu kupenda nako raha lakini jua kuwa ni raha zaidi unapopendwa na kujua kuwa unapendwa ambako hukufanya nawe upende.

Kupenda pasipo kupendwa kuna maumivu yake aisee. Kupendwa kunakupa nguvu, moyo, hamu na raha ya kupenda.

Maneno yako yametulia na yamejaa busara na hekima za hali ya juu. Nakubaliana nawe shem.

Last edited by a moderator:
Siku zote wekeza katika kutoa na si katika kupokea.

Bazazi ni Bazazi!

leo umesema vizuri sana Bazazi. kwa kuongezea tu. kama unapenda sana kwa dhati basi jua na wewe utapendwa sana kwa dhati, lakin siyo lazima na yule unayempenda tu na hapo ndipo penye mtihani mkubwa.

upendapo mahali sahihi, na ww ukapendwa na mtu sahihi basi raha yake utaimba uko peponi daima. Ila ukipenda mahali pasipo sahihi utajutia maumivu kila kukicha. Mwombe Munu akuaongoze katika kupenda mtu sahihi.
 
Last edited by a moderator:
Si sumu tu hata mapenzi yanaua!!

mapenz hushinda akili hivyo hamjui?!!
 
vyote viwili havina formula, what matters ni muda ule ulio naye! hapo onyesha upendo wote ulio nao, akivuka tu kizingiti cha mlango, waachie wenzio! raha ya mjini vijiti kupokezana!

mh! hii inatishaa..
 
nahisi both side muhimu kwani kupenda bila la ya kupendwa is nothing na utakuwa mashakani tu,sasa iwe nyote kila mmjoja karidhika na mwenzake na hapo ndio mutaona raha ya love .
 
kupendwa raha inakupa nguvu, courage nakadhalika

wajameni mii nauliza , nina rafiki yangu wa kiume yani hatujawahi kusex penzi letu bado jipya asa once tulienda sehemu flani(simba kapakatwa) kwa ajili ya juice ,chips yai chakushangaza yani huyu rafiki yangu nilipo mpiga busu shavuni chakukojolea kikasimama sijui ni msisimko ama , kwani nyie wanaume mkibusiwa chakukojolea kinasimamaga?naombeni jibu
 
Washabiki wa Taifa star wanajibu zuri kama wapo huku watakwambia
 
Inatokeaga kama ajapiga mzigo siku mingi ila jiandae siku ukimpa kariri pakutokea

Back
Top Bottom