Jamani nna hamuuuu

Yaani we acha tu!
Ungekuwa specific ili upate msaada......... hamu zina majina tofauti tofauti kutegemeana ni hamu ya nini........... Kwa mfano... Hamu ya kula inaitwa njaa, hamu ya maji inaitwa kiu, hamu ya kubanjua/kubanjuliwa inaitwa nye.... ,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom