Jamani nitafutieni wateja hizi ko****

ama kweli akutukanae hakuchagulii
tusi!!!!!!
yaani ww utuuzie sisi makufuli ya
hao hawara zako!! kawauzie sis***
zako!!
Usiwasemee wenzio kuwa mmedhalilishwa..ina maana zile za mitumba huwa wakina nani wanazinunua...?
 
Zitie kwenye fuko la rambo... Halafu mgongee simu mtarajiwa walo mwambie switii mi ndio natoka sagulasagula hapa karume yani nimekununulia bonge moja ya suprise akuje achukue mgizo wake, akija unamtwika hilo fuko la vyupii/viepe
N:B hii itakuwa inakupa kumbukumbu ya mademu zako ulowashona kila mkeo atakapokuwa anavaa moja kati ya vile viepe/vyupi
 
Wewe una nini? Manake leo pozi lako ni kufukua tu!..

Huu uzi umenchekesha sana ingawaje kuna watu humu wamechukizwa!.. Uzi uko chit chat watu wanatokwa povu lol.

Umeona eeh..

Nami ni mtu wa archives,si Mtambuzi peke yake..
 
Sijui hii tabia nilitoa wapi,
kwa kila mdada ambaye nikuwa napata fursa ya kujirusha naye ikuwa nilazima nimuombe aniachie kitu ambacho kitani kumbusha kuhusu yeye, moja wapo ya vitu hivyo ni kumpiga picha naked or kuniachia kofuli, na nashukuru baadhi wali kubali picha na wengi ndio waliniachia kofuli.

ANGALIA NYEKUNDU: Hapa umetukosea sote, wanaume na wanawake. Wanaume kwa sababu hilo la kumpiga picha msichana si tabia ya wanaume wastaarabu. Linaweza kuwa hata kosa la jinai. Wanawake kwa sababu wanawake wa JF wana heshima zao, hawastahiki dharau kama hii.
Hapa umevuka mipaka. Ikiwa unataka uendelee kuheshimiwa ninakuomba kwa upole sana uombe radhi kwa wana JF wote.
Ninachemka kwa hasira.

Bibie alichukizwa na uzi...
 
Sijui hii tabia nilitoa wapi,
kwa kila mdada ambaye nikuwa napata fursa ya kujirusha naye ikuwa nilazima nimuombe aniachie kitu ambacho kitani kumbusha kuhusu yeye, moja wapo ya vitu hivyo ni kumpiga picha naked or kuniachia kofuli, na nashukuru baadhi wali kubali picha na wengi ndio waliniachia kofuli.

Sasa nimekamatwa na mdada huyo ambaye mwezi ujao ndio tunafunga ndoa, sasa nikifikiria zile kofuli za hao wadada niliowai kushare nao faragha na shindwa kuelewa nizipeleke wapi maana ni nyingi kwa kweli, nafikiria kufungua gulio la kuziuza ila naogopa, kama kuna wadada wajf mtapenda kununua karibuni sana.
Niletee mimi hizo kufuli nipate kuziangalia na kuzipima kama zinazo ukimwi mkuu. Kwanza samahani kama nitakuudhi umesha kwenda kupima HIV?
 
:A S 13:Natamani ningekua anaweza kukutukana!!!!Ondoa dharau zako hapa.....au kama unaona ni za maana sana mpe huyo mpenzi wako wa sasa hivi kama zawadi!!!

Mentor wangu Lizzy naye hakubaki nyuma..
 
Ina wezekana kabisa si bishi hata kidogo,ila lengo langu ni kuuza hizo kofuli kabla hajaingia kwenye hii nyumba..... Sijui ni kwa nini hakina Dada waJF wamekuwa wakali kiasi hiki? au kwa sababu mmmhhh sipati jibu nabaki nashangaa tu dah! najua mnataka kunikatisha tamaa ila nitakomaa nazo hadi niziuze zote...

Mtoa Uzi,Uncle Rukus a.k.a. Mganyizi,alijitetea hivi....
 
Yaani nimeamini kuna watu wachokozi humu JF yaani uzi una mwaka sasa umekuja ufukua ili kuamcha jazba za akina Preta na wenzake?

Hivi sikurudi kutoa report eeh?

Kwa kweli nilifanikiwa kuuza kofuli zote na wateja wengi walikuwa ni akina dada ambao ni members waJF ambao niliwapa na moja ya bure. na katika hali ya kushangaza pia kuna wanaume walijitokeza kununua, hadi leo sijataka kujua walikozipeleka. Katika kautafiti kangu nimegundua wale wote waliotoa povu hapa ni moja wapo wawale akina dada walioniachia kofuli zao....


hamuwezi kuamini kwamba nilifanikiwa kununua suti ya harusi kwa mauzo ya hizo vitu. Baraka nyingi ziwafikie wale wote walioniachia nanhii zao maana walichangia Harusi yangu kwa njia nyingine.

Napenda kuwa taarifu akina dada wote waJF kuwa ndoa yangu imekuwa ya amani na upendo wadhati umetawala ndani ya ndoa yangu(tofsuti na wengi wao walivyo niombea).. Na Jumapili ya April Mosi tumejaliwa kupata Mtoto wa Kiume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom