Jamani nitafutieni wateja hizi ko****

naona nimeshindwa kula kwa hasira!! hili ni tusi kubwa sana huyu mganyizi alilotutusi!!

Dah! umenikosesha raha ghafla, hivi ni tusi gani hilo nilolo watusi? kwa kutangaza kuuza kofuli used? kwa ina maana huwa hamvai used jamani? mbona hakina Rihanna wanauza kofuli zao na mnazipigania ile mbaya,

kisa tu Mganyizi anauza kofuli. haya bana hatufiki kokote kama tuna wekeana wivu kwenye biashara zetu namna hii tutaendelea kweli?
 
Mganyizi umeona jinsi ilivyo hatari kucheza karibu na mzinga wa nyuki, wadada wa JF wamekushukia hadi nakuonea huruma, anyway kama vipi we zichome tu! by the way na ya mkeo mtarajiwa imo? angalia mzee asije akakuta ya mdogo wake katika hilo furushi! hahahaha! " Once a cassanova always a cassanova" mzee angalia usije jisahau kama huyo wa sasa ni mkeo mtarajiwa maana nae unaweza muomba aache kufuli!
 
Ujue hata huyo unaye muoa kaacha nyingi kwa washikaji na kushauri uzichome moto!

Ina wezekana kabisa si bishi hata kidogo,ila lengo langu ni kuuza hizo kofuli kabla hajaingia kwenye hii nyumba..... Sijui ni kwa nini hakina Dada waJF wamekuwa wakali kiasi hiki? au kwa sababu mmmhhh sipati jibu nabaki nashangaa tu dah! najua mnataka kunikatisha tamaa ila nitakomaa nazo hadi niziuze zote...
 
Mganyizi umeona jinsi ilivyo hatari kucheza karibu na mzinga wa nyuki, wadada wa JF wamekushukia hadi nakuonea huruma, anyway kama vipi we zichome tu! by the way na ya mkeo mtarajiwa imo? angalia mzee asije akakuta ya mdogo wake katika hilo furushi! hahahaha! " Once a cassanova always a cassanova" mzee angalia usije jisahau kama huyo wa sasa ni mkeo mtarajiwa maana nae unaweza muomba aache kufuli!
Mkuu ni maajabu ya Mussa, ndege mjanja unasa tundu bovu.
 
mmh hii ndio wanaita jino kwa jino lol
usihangaike kaka yangu.Huyo dada hatashangaa kukukuta nazo manake na yeye anafanana na wewe.

Mungu hukupa wakufanana naye, mwizi hupewa mwenza mwizi,fisadi,kwa hiyo kama mnafanana ya nini kuhofia
 
sababu unawadahalilisha, hayo hayakupaswa kuongelewa hapa mkuu.
Ina wezekana kabisa si bishi hata kidogo,ila lengo langu ni kuuza hizo kofuli kabla hajaingia kwenye hii nyumba..... Sijui ni kwa nini hakina Dada waJF wamekuwa wakali kiasi hiki? au kwa sababu mmmhhh sipati jibu nabaki nashangaa tu dah! najua mnataka kunikatisha tamaa ila nitakomaa nazo hadi niziuze zote...
 
zipige picha uziweke jukwaa la wakubwa< tuwaombe mods waanzishe mnada on line!

Aaaah tafadhali bwana! unajua ziko katika hali gani? achana nazo bwana!! na huyu mheshimiwa wala sii muoaji, wala asiumize watu vichwa angekua muoaji angejua cha kufanya nazo. au ataambiwa siku ya kitchen party ya kiume au beg party sijui mnaitaji nyie watu kileo.
 
Kaka samahani, maana wewe naona hutuombi samahani
Sijawakosea ndio maana sijaomba samahani,kama ikiwezekana niambieni kosa langu na nikijua nimewakosea nitaomba hiyo samahani bilashaka.... Hata hivyo kuna kitu kipya nimejifunza toka kwenu akina dada waJF.
 
Mbona kawaida maana hata baada ya mechi kuna mambo ya FAIR PLAY wachezaji hubadilishana jezi ili kumbukumbu ya mechi husika. Just keep 'em man!
 
Mbona kawaida maana hata baada ya mechi kuna mambo ya FAIR PLAY wachezaji hubadilishana jezi ili kumbukumbu ya mechi husika. Just keep 'em man!

Bora useme wewe...... tatizo la wadada waJF hawapendi kuambiwa ukweli, najua na wao wameacha nyingi tu kwa watu sasa wanahisi na uko waliko acha nako zitapigwa mnada kama hivi .....
 
Bora useme wewe...... tatizo la wadada waJF hawapendi kuambiwa ukweli, najua na wao wameacha nyingi tu kwa watu sasa wanahisi na uko waliko acha nako zitapigwa mnada kama hivi .....

Muganyizi acha kutukosea heshima ujue wewe?? Mie sijawahi kuacha hata moja hivi huna mama, dada, shangazi, bibi wewe?? Unaweza kuwaambia maneno kama haya???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom