Jamani nitafutieni wateja hizi ko****

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
2,415
398
Sijui hii tabia nilitoa wapi,
kwa kila mdada ambaye nikuwa napata fursa ya kujirusha naye ikuwa nilazima nimuombe aniachie kitu ambacho kitani kumbusha kuhusu yeye, moja wapo ya vitu hivyo ni kumpiga picha naked or kuniachia kofuli, na nashukuru baadhi wali kubali picha na wengi ndio waliniachia kofuli.

Sasa nimekamatwa na mdada huyo ambaye mwezi ujao ndio tunafunga ndoa, sasa nikifikiria zile kofuli za hao wadada niliowai kushare nao faragha na shindwa kuelewa nizipeleke wapi maana ni nyingi kwa kweli, nafikiria kufungua gulio la kuziuza ila naogopa, kama kuna wadada wajf mtapenda kununua karibuni sana.
 
usihangaike kaka yangu.Huyo dada hatashangaa kukukuta nazo manake na yeye anafanana na wewe.

Mungu hukupa wakufanana naye, mwizi hupewa mwenza mwizi,fisadi,kwa hiyo kama mnafanana ya nini kuhofia
 
acha dharau kwa wanawake Mganyizi,

unajuaje kama hizo ziko salama kwa matumizi ya binadamu especially fungus free?
 
Sijui hii tabia nilitoa wapi,
kwa kila mdada ambaye nikuwa napata fursa ya kujirusha naye ikuwa nilazima nimuombe aniachie kitu ambacho kitani kumbusha kuhusu yeye, moja wapo ya vitu hivyo ni kumpiga picha naked or kuniachia kofuli, na nashukuru baadhi wali kubali picha na wengi ndio waliniachia kofuli.

Sasa nimekamatwa na mdada huyo ambaye mwezi ujao ndio tunafunga ndoa, sasa nikifikiria zile kofuli za hao wadada niliowai kushare nao faragha na shindwa kuelewa nizipeleke wapi maana ni nyingi kwa kweli, nafikiria kufungua gulio la kuziuza ila naogepa, kama kuna wadada wajf mtapenda kununua karibuni sana.

baada ya kusasambua wanatembea uchi? we noma zipo ngap! zinafika mia nane (800)?
 
Yaani wewe dah ngoja niache maana nisijenikakukosea adabu maana wewe ni sh.............. yangu.

Ila acha dharau mkubwa dah
 
Sijui hii tabia nilitoa wapi,
kwa kila mdada ambaye nikuwa napata fursa ya kujirusha naye ikuwa nilazima nimuombe aniachie kitu ambacho kitani kumbusha kuhusu yeye, moja wapo ya vitu hivyo ni kumpiga picha naked or kuniachia kofuli, na nashukuru baadhi wali kubali picha na wengi ndio waliniachia kofuli.

Sasa nimekamatwa na mdada huyo ambaye mwezi ujao ndio tunafunga ndoa, sasa nikifikiria zile kofuli za hao wadada niliowai kushare nao faragha na shindwa kuelewa nizipeleke wapi maana ni nyingi kwa kweli, nafikiria kufungua gulio la kuziuza ila naogepa, kama kuna wadada wajf mtapenda kununua karibuni sana.

Nakushauri uzivae mwenyewe maana zitakufaa sana na umbo lako la kwenye avatar. Au gawia ndugu zako wa kike
 
ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi!!!!!!

yaani ww utuuzie sisi makufuli ya hao hawara zako!! kawauzie sis*** zako!!
 
Mshikaji umewaona kina dada wa JF wamechoka mpaka kofuli wanashindwa kununua?

Bora uwarudishie wenyewe tu . Na wasiwasi sijui kama ulikumbuka kuziwekea label.
 
TZJAMANI, mweleze mwanaume mwenzio, tena inaelekea ni kicheche sana!! hata huyo binti uliyempata kala hasara.
 
kua mkubwa wewe hizi sio thread za kutuletea hapa,au unafkiri ukubwa ni kuota ndevu za shaba?
 
usihangaike kaka yangu.Huyo dada hatashangaa kukukuta nazo manake na yeye anafanana na wewe.

Mungu hukupa wakufanana naye, mwizi hupewa mwenza mwizi,fisadi,kwa hiyo kama mnafanana ya nini kuhofia
Jamani mbona mimi wanikatisha tamaa.....!
 
Mshikaji umewaona kina dada wa JF wamechoka mpaka kofuli wanashindwa kununua?

Bora uwarudishie wenyewe tu . Na wasiwasi sijui kama ulikumbuka kuziwekea label.

You deserve this
The Following User Says Thank You to tzjamani For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​
 
:A S 13:Natamani ningekua anaweza kukutukana!!!!Ondoa dharau zako hapa.....au kama unaona ni za maana sana mpe huyo mpenzi wako wa sasa hivi kama zawadi!!!
 
We kaka, umeona alichokwambia Martina eeh!!
Haya, tunajua sana kusema lakini hatutaki tu kwa sababu tunajiheshimu, tengenezea mto uwe unaziwekea kichwa chako!!!
 
zipige picha uziweke jukwaa la wakubwa< tuwaombe mods waanzishe mnada on line!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom