jamani nishakosa chuo

MKUU ROMBO unapenda mbege wewe lakini mbege ya rombo haijakuta ya huku kwetu marangu babangu
 
mwanangu una iyo wenge hadi basii
embu tembelea akaunti yako ya tcu kuna ujumbe mpya.! Bt mimi nimeshangaa sana kukuta hili neno not admitted !! Ooh my God kama kuna yeyote mwenye uwo ujumbe aniambie !! Hapa nilipo nahisi kufa
 
cheza na the duduz ww umia tumbo mbyaaa!

wadau naona mnafurahi ile mbya kwa kuwa admitted bt mwisho wa siku ki2 kikitoka mnaambulia Nil kwenye kale ka upande ka loan sasa hapo sijui utamlilia nani?
 
Afu wadau mimi nilivyoingia kwa mara ya kwanza nilikuta hili neno " Admitted1 " baadae kidogo nilivyolog in tena nikakuta " you are admitted " sasa kwenye hiyo admitted1 nadhani walikuwa wanamaanisha ya kuwa " nitakuwa nimechaguliwa kwenye ma first priority course...
Je kuna mtu yeyote ali notice hicho kitu kabla ya kuandikiwa " you are admitted "
 
afu wadau mimi nilivyoingia kwa mara ya kwanza nilikuta hili neno " admitted1 " baadae kidogo nilivyolog in tena nikakuta " you are admitted " sasa kwenye hiyo admitted1 nadhani walikuwa wanamaanisha ya kuwa " nitakuwa nimechaguliwa kwenye ma first priority course... Je kuna mtu yeyote ali notice hicho kitu kabla ya kuandikiwa " you are admitted "
kijana unakaba adi penati...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom