Jamani nisaidieni

Hayati

Member
Jul 1, 2011
64
5
Tangu nilipozaliwa na kupata fahamu zangu ninasikia wakubwa na wadogo wanalitamka na kulitumia neno MAPENZI.Naomba wn jf mnisaidie maana halisi kwa sababu linapolituka kwa kijana mfano ukimwambia MPENZI WANGU HUJAMBO. Na kijana wa kiume mwenzake watagombana hivi kumwita mtu mpenzi wangu inamanisha unamtamani?au mvulana kumsalima msichana MPENZI WANGU HUJAMBO unamtaka.please nisaidieni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom