Jamani nisaidieni sielewi hiki kinachonitokea kitandani

Tafakuru

Member
Dec 9, 2011
83
33
Wadau mimi nna mchumba wangu nampenda kupita maelezo. Imetokea kila tunapofanya mapenzi nnajitaidi nismamie show nimridhishe kabisa kabisa. Sasa kila anapofika pick/kileleni basi nnaeza nkawa nnamalizia malizia mambo au bado kidogo afike pick analalamika sana sana tumbo linamuuma afu ananikataza nisiendelee na kazi maana anaumia sana. Wadau hii maana yake nini??? Yeyote anaejua namkaribisha kunijuza, nnaamini waschana wanajua zaidi
 
Usije ukawa una-deal na mapepo. Maana hata kama ndo angekuwa anaanza mchezo huo hawezi kulalamika kwa maumivu. Sana sana atatetemeka kwa kutojua kinachomtokea kama ni raha ya kawaida au la. Mwulize kama inatokea kwako tu au na kwa wengine aliowahi kuwa nao. Lakini kuwa makini ktk kuuliza historia yake hiyo ya nyuma, maana anaweza akakuchakachua kwa kujifanya hajawahi kutembea na mtu zaidi. Waongo kweli watu hawa, aha ha ha ha.
 
tafuta staili ambayo haiwezi kumuumiza mwenzako , pia jaribu kwenda taratibu usisokomeze limdudu lote japo kwa nusu nusu maana isije ikawa mkuu una extra hevy duty ... ikichanganya wakati wa tendo peleka nusunusu na taratibu kwa mnato
 
Subiri ndoa ndo muanze kudo na 2mbo ndo litaacha kumuuma maana hapo mnafanya uasherati.
 
Kuna maumivu ambayo mwanammke huyapata wakati mwanamme anaporelease fluids yale maeneo.
Kuna vitu kama michubuko au vidonda huwapata baadhi ya watu
It's very rare lakini ipo, tena naskia ni maumivu makali sana

Kama anataka kujaribu amruhusu akatest kwa mwingine, akiumia ajua ana michubuko
asipopata maumivu bali kweli ni mshdede

Kuna mtu namfahamu alikuwa na hili tatizo akaenda tibiwa haspitali akakuta na michubuko.

hivi kwani infection ingekuweko tu wakati wa kufanya matusi tu?

eti miye nimewazaa kuwa size ya mshedede hapa inahuu. like anagonga kizazi
 
Ukirudia tena kufanya mchezo mbaya na huyo binti wakati huja muoa lazima ufie kitandani kama unabisha rudia.
 
Nendeni hospital nadhani ntapata matatibabu na kupona kabisa
 
Kuna maumivu ambayo mwanammke huyapata wakati mwanamme anaporelease fluids yale maeneo.
Kuna vitu kama michubuko au vidonda huwapata baadhi ya watu
It's very rare lakini ipo, tena naskia ni maumivu makali sana

Kama anataka kujaribu amruhusu akatest kwa mwingine, akiumia ajua ana michubuko
asipopata maumivu bali kweli ni mshdede

Kuna mtu namfahamu alikuwa na hili tatizo akaenda tibiwa haspitali akakuta na michubuko.

atleast week haijaisha vibaya leo nimejifunza kitu kipya toka kwako aisee Kongosho. Hiyo njia yako ya kuprove sikubaliani nayo aisee lolest!

ila miye mara nyingi sana nimewahi kuona watu wenye size xl ya mshedede patnazi wao huwa wanalalamikia sana hili tatizo na liko sana kwa wale wenye tuth kubwa halafu they are rough riders. wao wanaexceed limit unakuta hadi pale kwenye kizazi kabisa wanagonga hadi kupachubua.
 
Last edited by a moderator:
Michubuko ya mshedede ni kama 'moto' afu nadhani pote tu panauma afu panauma muda wote wa tukio.

Ila maumivu ya michubuko yanakuwa kwenye tumbo la chini sasa sijui ni kwenye kizazi
Na hii inauma pale anapoanza kuachia mzigo, anaweza mwanamke kupiga hata kelele kwa maumivu

Nadhani hii inakuwa michubuko kwenye tumbo la kizazi
Ila kwa mabinti waache kuchoropoa mimba
Sisemi kila anayepata katoa mimba ila ??????

NOTE: Am not a dokta, am a mama ntilie, siwezi simulia sana NAONA AIBU

Back
Top Bottom