Jamani Nisaidieni Mbinu za Kutenganisha Wanandoa!!!

Duh!! wewe kiboko umejuaje???!!!

[/INDENT]
Engineer Smasher
Mkuu hapa nimeelewa ni huyu new bibi harusi aliukuwa anachat na wewe,bana sio vizuri ,achana na huyu ,utapata atakayefaa ,huyu akufai,utapata pressure,maana akianza na yeye chobingo utaumia roho.
[/QUOTE]
 
okay mkuu hutaona tena hii habari manake TUMESHAMALIZA hii chapta tuendelee na mada sasa...

OOh cheaman...kwa heshima yako turudi kwenye tupic...Hivi leo injinia smasher anazungumzia ku-do ze nidful juu ya guta au?
 
Aah mbona simple sana mkuu, fanya hivi... nenda home kwa dem si unapajua wanapoishi baada ya ndoa? Subiri mida flani ya jioni hivi zama home kwao afu unamwambia dem asaule kabisa nawe saula mazee mnapiga brush kimtindo, halafu mkisikia gari ya mume inakuja mwambie dem ashuke kitandani akamate kitanda style ya mbuzi kagoma kisha pump kwa nguvu ukiona kitasa kikinyongwa, jifanye umekolea kwenye the needful tena piga na vibao ile kalio. Jamaa akiingia mkate jicho moja afu jifanye hujamuona piga mzigo. Kazi itakuwa imekwisha kijana unachukua dem wako unasepa kilainiiii au unaonaje?
 
OOh cheaman...kwa heshima yako turudi kwenye tupic...Hivi leo injinia smasher anazungumzia ku-do ze nidful juu ya guta au?

Leo hataki kukubaliana na theory za nguvu za uvutano....... hahahaa

Hii mi namwona kama anafikiri kwen utopia

Rose kamwambia kwmaba huyo demu angekuwa anmpenda asingekubali kuolewa in the first place....sasa sijui anafight the battle ama anataka kuwin the war?
 
OOh cheaman...kwa heshima yako turudi kwenye tupic...Hivi leo injinia smasher anazungumzia ku-do ze nidful juu ya guta au?

Unatoa lami unaweka tope afu lori unampa taxi draiva!
 
Haya rudi kwanye mada ya jamaa anayetaka kuoa mke wa mwenzie.
Babu tatizo la Eng. Kashweka lazima so yupo tayari kwa lolote!! mi namuonea huruma sana huyu maana ma Eng. bado tunawahitaji asee
amani naomba mnisaidie mbinu za kufanya jamaa atoe talaka coz 2na mipango mingi sana na huyu Binti lazima nimwoe hata kama ni Bomani!! Nifanye nini??!!
 
We mshamba tu. Huyo demu hakupendi, kama walifunga ndoa ina maana alimkubali huyo zaidi kuliko wewe ndo maana akasema ndiyo, wanaofungisha ndoa siyo wajinga wanauliza maswali kama wameridhiana. sasa kama wewe unataka kumegwa pia endelea kumfuatilia huyo demu. Wote mtakuwa wake zake.
 
Babu tatizo la Eng. Kashweka lazima so yupo tayari kwa lolote!! mi namuonea huruma sana huyu maana ma Eng. bado tunawahitaji asee

Hommie, we unaweza kuoa binti ambaye unajua nimeshammega?
 
Duh!!Mmeshindwa kuchangia maada??!!

sorry 2litaka kuchakachua mada. Nikirudi kwenye mada ni hv kwa sababu umeshahamua kujitoa muhanga nenda anakoishi huyo dada na mumewe kwanza du ze nidful nae kwenye bed alalayo na mmewe ukishamaliza jiachie chaaaaaaaaaaaaaaaaa yaan chali mazee pembeni gilasi ya juisi mpaka mumewe akukute hapo ucsahau nguo zenu mzitapanye pale chini
 
Aah mbona simple sana mkuu, fanya hivi... nenda home kwa dem si unapajua wanapoishi baada ya ndoa? Subiri mida flani ya jioni hivi zama home kwao afu unamwambia dem asaule kabisa nawe saula mazee mnapiga brush kimtindo, halafu mkisikia gari ya mume inakuja mwambie dem ashuke kitandani akamate kitanda style ya mbuzi kagoma kisha pump kwa nguvu ukiona kitasa kikinyongwa, jifanye umekolea kwenye the needful tena piga na vibao ile kalio. Jamaa akiingia mkate jicho moja afu jifanye hujamuona piga mzigo. Kazi itakuwa imekwisha kijana unachukua dem wako unasepa kilainiiii au unaonaje?

Safi Mkuu. I was thinking the same: Like... Nenda kammege chumbani kwao wanapolala na mumewe... Demu si anajua mumewe anarudi muda gani? wee nusu saa kabla tia timu home halafu endeleeni.....!
 
Hommie hii ngumu bana yaani hiyo ni Big No.. sio kujua tu hata nikihisi kua homeboy wangu hapa kapita siwezi...

hahahahaaaa una uthubu2 dont underestimate strength ya woman casin
 
Smasher kwa ufupi,mnataka kuharibiana maisha hapo,hivi wewe kwanza unaona sawa tu ,weka akili yako kichwani ,huyo ni mke wa mtu na anamegwa,na wewe unapita hapohapo,hiyo si sahihi,hapo wewe unataka kumharibia maisha yake tu,Mshauri akae na mumewe,na wewe tafuta mwanamke mwingine uoe,mtendwa huteendwa,SIO SAHIHI MAMBO UNAYOYAFANYA....
 
Hommie hii ngumu bana yaani hiyo ni Big No.. sio kujua tu hata nikihisi kua homeboy wangu hapa kapita siwezi...

Sasa huyu mhandisi inakuwaje hapa? Anyway, ngoja niendelee na maandalizi ya Noeli.
 
Hommie hii ngumu bana yaani hiyo ni Big No.. sio kujua tu hata nikihisi kua homeboy wangu hapa kapita siwezi...

Inasikitisha sana manguli na vingunge wa MMSC wanaposhindwa kusimamia sheria mama
sharing is caring
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom