Jamani Nisaidieni Mbinu za Kutenganisha Wanandoa!!!

Yaani ndoa ivunjike na wewe upate mke! Achana na vitu hivyo wapo wengi tu warembo hata hapa JF kama umeshindwa kabisa kupata mwingine omba hapa wajitokeze halafu uchague, unahangaika na mipira ya mbali wakati ipo ya karibu.
 
mambo vipi familia kubwa ya jf!!

kwanza naomba samahani kwa hii maada lakini nipo serious kupita maelezo!!
nilikuwa na demu wangu 2lipendana sana lakini wazazi wake walimpenda zaidi coz waligoma nisimwoe mwanae akawa kaolewa na jamaa mwenye pesa!

sasa hivi wapo kwenye ndoa wiki 2 lakini naendelea kula tunda kama kawa na tunachat nae muda wote hata kuwasiliana full tym!binti ananipenda na yupo tayari kwa lolote!!

kabla hajaolewa nilimvisha pete ya uchumba then jamaa kamalizia pete ya ndoa!!
ni kama movie lakini ni kweli sasa hivi 2na mpango wa kumfanya jamaa atoe taraka!!

jamani naomba mnisaidie mbinu za kufanya jamaa atoe talaka coz 2na mipango mingi sana na huyu binti lazima nimwoe hata kama ni bomani!! Nifanye nini??!!

mpe mimba halafu tangaza ana bao lako baada ya miezi nane hivi, ukiwahi tangaza itachomolewa faster

wako ibilisi
 
yaani hapa hesabu kuwa UMELIWA + MAUMIVU; weye ni kama DILDO tu kwake!

Mwenyekigoda KAIZER; upo wapi mpwa ni pm ASAP
 
Tatizo sio warembo mkuu!!!Pls naomba mnielewe hivyo!!
Duh!!tatizo humu JF naona wote wapo DOUBLE!!!But naweza kurudi kwa hili,
sasa hivi nahitaji hizo mbinu!!

Yaani ndoa ivunjike na wewe upate mke! Achana na vitu hivyo wapo wengi tu warembo hata hapa JF kama umeshindwa kabisa kupata mwingine omba hapa wajitokeze halafu uchague, unahangaika na mipira ya mbali wakati ipo ya karibu.
 
wewe!!!!
unaota?
ulikuwa wap kuzuia b4 awajaenda kansan?
km anakupenda kweli ANGEKUWA NA MSIMAMO WA KUMKATAA UYO BWANA MAPESA ILI ABAK NA WEWE..?
UYO DEMU ANAPENDA MITALA NA SI KM ANAKUPENDA WEWE....kwa kipnd iki issue za kulazimishana km enz zileeeee azipo tena ...ukionyesha msimamo mara mbl tatu bas wazazi wanakuacha uendelee na umpendae....
endelea kumega mpk pale MTAKAPOFUMANIWA NDO UTAJUA CHA KUFANYA.
Cant put it any better
 
Yesterday 01:12 PM #1

Eng. Smasher
icon1.png
Inakuwaje upo na mkeo faragha mnatalk then yupo bizzy na simu muda wote!!!

Mamboz wana JF??

Nauliza swali jamani,Inakuwaje upo na mkeo sumwhre faragha mnatalk nae wakati huohuo yupo bizzy na simu anachat muda wote!!!!

Utachukua uamuzi gani??!!
Engineer Smasher
Mkuu hapa nimeelewa ni huyu new bibi harusi aliukuwa anachat na wewe,bana sio vizuri ,achana na huyu ,utapata atakayefaa ,huyu akufai,utapata pressure,maana akianza na yeye chobingo utaumia roho.
 
Naomba muelewe kuwa nilimvika pete ya uchumba wiki 1 kabla ya NDOA!!
Ili jamaa akiona aahirishe coz walikuwa kwenye process ya NDOA yao!!

sawa mkuu nimekusoma ila kumbuka mwanamke sio mzigo ambao unaweza ku-possess bila ridhaa yake.hata kama wazazi watalazimisha vipi kama hataki kuolewa hataolewa.ndio maana nakwambia mwanamke aliridhia kuolewa na huyo jamaa.si ajabu kua mwanamke hata hakumuonesha huyo jamaa pete uliyomvisha.pete si inavaliwa na kuvuliwa muda wowote!kwa sababu kama jamaa angeiona lazima angelianzisha tu.
 
Duh!!Mmeshindwa kuchangia maada??!!
Sory Muheshimiwa si unakua tena mambo ya mwisho wa mwaka!!
Back to the Topic, Nakushauri uwe makini sana na huyo mke wa mtu. jamaa akijua kua kuna mtu anamfanyia hiyana anaweza kukumalizia mabli kabsaa!
 
Duh hii number imetafutwa kupitia kila thread humu JF.....kuna kitu hapa..wikileaks please du ze nidful

okay mkuu hutaona tena hii habari manake TUMESHAMALIZA hii chapta tuendelee na mada sasa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom