Jamani nisaideni kwa hili la juzi!

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Nimejiuliza sana nimekoswa jibu naombeni mnisaidie kwa wanaofahamu.Ni nani aliyepiga picha ile meli wakati ikizama na alikuwa amesimama wapi?????????
 
Wait! Around! Kwn yule best aliyepiga kwa muda huu nafikiri bao amelala. Atakujibu peke yake kwn 2kikujibu unaweza usi2elewe.
 
Nimejiuliza sana nimekoswa jibu naombeni mnisaidie kwa wanaofahamu.Ni nani aliyepiga picha ile meli wakati ikizama na alikuwa amesimama wapi?????????

ile haikuwa picha halisii ya meli iliyozama... ile ni meli tofauti na meli halisi. alitoa picha ile katika michuzi amedanganya umma
 
Back
Top Bottom