jamani nisaideni hapa ...

poleni sana wote mliojaribu kuotea ila kati yenu hapa dada mkubwa Remmy kashinda so awasiliane na Mtambuzi kwa zawadi.

kwako wewe Asprin unanikosha sana na utani wako humu jamvini. naomba uniekee bandiko la picha ya mwanangu Ronn M akiwa anamvesha picha ya uchumba jeneneke.

Ndoa Ndoano - YouTube

Hapa Ronn M akichat na jeneneke
attachment.php


Hapa jeneneke akielekea kuvishwa pete (magauni mengine yanawashaga makalio, khaa!)

attachment.php


Hapa baada ya makubaliano kuwa Ronn M afanye mazoezi ili apunguze uzito

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Wanangu ni malaika wadogo walioko duniani. Wanampendaje baba yao? Ntawaoa mwenyewe wallah!

teh teh teh teh! sasa utawaoa mwenyewe wakati ni malaika? au ndo maana ya signature yako?
 

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom