Jamani nini kinaendelea libya tupashane

Rutakyamilwa

JF-Expert Member
Feb 27, 2009
1,872
1,235
Tunaomba mwenye taarifa nini kinaendelea libya tupashane. Nasikia anaua kwa kwenda mbele, ni kweli
 
Gaddafi lazima ang'oke hana jinsi. Bado tu anatafuta sehemu ya kukimbilia. Tumesikia anachimba mkwara kwamba yuko tayari kufa kwenye nchi yake. Lakini mwisho wa siku atakimbia tu. Nguvu ya umma ndiyo mwisho wa mambo yote. Hata tanzania, dawa ya ukiritimba wa watawala ni nguvu ya umma. Itafika tu mwisho wao.
 
Next is Tanzania.....jk...Nampa ushauri akiona mwenzie ananyolewa na anapata maumivu,yeye aanze kuzilowanisha zakwakwe zisiume sana...Hata mimi nasikia harufu inavuma kutoka kaskazini kuja kusini mwa Afrika.
 
ukweli kuhusu libya ni ngumu kuupata kwa sababu vyombo vyote vya habari vya kimagharibi vinavyiripoti ni ant-gaddafi unategemea nini? Ndugu zangu in libya reality is constructed rather than being inerpreted! Tuweni makini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom