jamani ninatafuta mke sio demu

nashangaa kuona uko sokoni
huku mimi nikijiambia uko home unanisubiri
kumbe unaposwa huku..
hii dunia hii...

Hahahaaa.... Aaah, nshakushtukia wewe hueleweki..!
Unanitesa kwa sababu mi ndio nilieanza kukwambia I LOVE YOU..!
Sasa leo nami nimepata wa kuanza kuniambia I LOVE YOU... Hakuna kuremba..!
 
Hahahaaa.... Aaah, nshakushtukia wewe hueleweki..!
Unanitesa kwa sababu mi ndio nilieanza kukwambia I LOVE YOU..!
Sasa leo nami nimepata wa kuanza kuniambia I LOVE YOU... Hakuna kuremba..!

kweli naona hakuna kuremba...
fasta fasta
 
Kiongozi ujaweka kigezo chochote sasa hiyo short list itafanyika vipi hapo?....au first come.first to be served.....
kama ni hivyo mpaka sasa inabidi utoe tamko kwamba nafasi zimejaa nadhani bibie juu hapo mwenye 57yrs atakuwa kawahi,au unatafuta wake?
 
Hahahaaaa..... Nimelipenda tangazo lako..! Mi nina miaka 57, nakufaa?

lol hii kali 57 years?? itapita kweli au itakuwa imejaa kutu kama muda wote ilikuwa haitumiki ha ha ha ha
 
lol hii kali 57 years?? itapita kweli au itakuwa imejaa kutu kama muda wote ilikuwa haitumiki ha ha ha ha

Hahahaaaa.... Jamani mbona unashtuka wakati bado nadai kabisa na hii 57 yangu...! Itabidi aishtue kwa jelly kidogo tuu af mambo yanajipa yenyewe..1
 
Sasa Maliboro, mbona nimekuandikia PM Kumi hujanijibu hata moja wajameni...!!!
Nasubiri majibu mpaka usingizi unaninyemelea.. Jibu basi ili niweze kulala kwa amani..!
 
Waganga hawasaidii rafiki, kuna saluni nimeenda wana dawa ya mchina makunyanzi yote yanapotea kama uchawi. I look 40 hapa, ukiambiwa nakaribia miaka 100 utasimamia kucha! Tafuta mshiko uje
nahitaji mganga mpya
hebu nielekeze fasta
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom