Jamani ninani mwenye hii habari????

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,575
8,595
Habari niliyoisikia JK, amemuoa Mdogo wake RA juzi je hizi ni habari za ukweli??Mwenye habari kamili atujuze! Ila kama kweli hii itakuwa zaidi ya kiboko!!
 
Habari niliyoisikia JK, amemuoa Mdogo wake RA juzi je hizi ni habari za ukweli??Mwenye habari kamili atujuze! Ila kama kweli hii itakuwa zaidi ya kiboko!!

Hata mimi nimesikia...lisemwalo lipo..........
 
:sad::thinking:Du!! Tumekwisha!! Kama ni kweli kalidanganya taifa tena pale aliposema hana uhusiano wowote na wenye dowans!!:sad::msela:
 
Aibu tutu tunasubiri atuabishe kwa mara nyingine. Aibu yake ya kwanza ni pale aliposema hajui kwanini tanzania ni masikini!
 
Aibu tutu tunasubiri atuabishe kwa mara nyingine. Aibu yake ya kwanza ni pale aliposema hajui kwanini tanzania ni masikini!
Nimesikia wamefanya afficialy sasa kama kuna ukweli juu ya madai hayo tusubiri ukweli.
 
Oooh maskini nchi yangu inazidikuwa maskini oooohh Mungu nipe nguvu ya kubeba mabomu na kuwafuata hukohuko magogoni wanapoligeuza lipango letu kuwa sehemu ya ufisadi:A S 20:
 
Habari niliyoisikia JK, amemuoa Mdogo wake RA juzi je hizi ni habari za ukweli??Mwenye habari kamili atujuze! Ila kama kweli hii itakuwa zaidi ya kiboko!!
huyu jk mbona ananichanganya-kwani ana wake wangapi hadi sasa?hata kama polygamy inaruhusiwa,huyu naona bila kukanywa ata ultra vires
 
Hana kosa hiyo imebarikiwa na mtume, maana anaweza kuwatoshereza kwa kila kitu, financially and sexually (viagra zipo) hivyo wote watapata kitu mti
 
Back
Top Bottom