Jamani nimeshindwa kuvumilia....

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,546
1,662
Nimewamic kweli,wa kwanza ww unaeisoma post hii.hata wewe ndio na huyo pia.jamani poleni na janga ckuwepo nilikwenda kijijini kwenye paliz.kumbukeni nawapenda wote.
 
Nimewamic kweli,wa kwanza ww unaeisoma post hii.hata wewe ndio na huyo pia.jamani poleni na janga ckuwepo nilikwenda kijijini kwenye paliz.kumbukeni nawapenda wote.

we kokudo!!!!!!! hbr za palizi???

ama kweli ninabahati ya kukusoma kaka kokudo
 
Kokudo nakumbuka uliaga, karibu sana mjukuu wa kiume!! Huku MMU hatujambo!! Vipi umetuletea nini kijijini huko???
 
Back
Top Bottom