Jamani Nimeoteshwa Kikombe LIVE!!!!!

komedi

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
204
17
Jamani nimeoteshwa sasa hivi, ndo nimeamka niwaambie. Nimeoteshwa nichemshe kunguru akiwa hai kwenye chungu kikubwa halafu nichanganye na mavi ya nguruwe. Supu inayopatikana hapo ni dawa ya magonjwa yote sugu.

Njooni mpate kikombe. Sh 500 tu. Njoo upone, wahi uepuke foleni.

Wahi kabla TFDA hawajanisweka segerea.

Huu mwaka wa kikombe bana!
 
Ndoto, Ndoto, ndoto... Mmh, angalia, usije ukawa na wewe ni mmoja wao!
 
Mmoja anasema kaoteshwa kikombe, wengine wanafuata woooote Kikombe, utafukiri biashara za Kariakoo, akianzisha mmoja basi wooote humo humo. Haya bana na mimi nimeoteshwa. Tunywe sasa.

Tena naomba mkuu wa mkoa awe wa kwanza kunywa. Naomba mniongezee ulinzi tafadhali. Na miundo mbinu ya kuja kwetu hapa Darfur, Yongwe ndani ya Chanika iboreshwe. Tunataka barabara ya lami, msisahau 'flying overs'
 
Inawezekana umeoteshwa na shetani. Anyaways, Unaweza kuanza na ukoo wako kwanza.

Kumbe huna uhakika mama!!, basi kunywa kwanza mama, h'fu ukipona ndo tuulizane, njoo sasa hivi nitakupitishia kwenye njia ya VIP usijali.....au unaogopa mashonde ya kiti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom