Jamani nimelogwa au!!!!!

Muite mkeo na uyaungame haya mbele zake... usimfiche kitu chochote.

Si kuwa atatengeneza tatizo lingine? Nikiimagine; mume ananiambia "samahani Kay, nina shida moja nataka nikusgirikishe mke wangu. Unajua sijui shetani au nini, lkn ninavutiwa na AshaDii, yule mke wa Don Fulano. Sijacheat hata siku moja ila ni huu upepo tu."

Du, a lot of things will go on in my mind. Ukitaka kupata picha vizuri, assume mkeo anakuja na hizo reveletion kuwa she is crazy/attracted to another man!

Mimi naona apunguze ukaribu na kuwa strong zaidi!
 
Back
Top Bottom