Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,412
- 4,558
wanajamii nimewaletea hiki kitu ili kuwashtua yaliyonitokea na kuwajulisha kuwa macho,juzi jumatatu nimepata mail kutoka yahoo ikini warn kwamba kuna wizi wa mail address umetokea na ni lazima nijaze baadhi ya maswali kuthibitisha kama hiyo ni mail address yangu au vipi within two weeks,otherwise wataifunga,nikajaa king nikaijibu hiyo mail kwa kujaza yahoo I.D,yangu na password na address na mahali nilipo nikiamini ni msg ya yahoo kwenda kwa wateja wao!kilichotokea sasa ni kwamba hiyo mail address mpaka sasa kila nikijaribu ku log in haikubali tena,nikawa nashangaa,sasa leo nimepigiwa simu na watu wangu wa karibu na kusema wamepata strange mail toka kwenye ile mail address yangu kwamba nina shida kubwa nahitaji pesa wanitumie!ndio namimi nikashtuka,sasa kingine wanachofanya hao jamaa ni kama niliwahi kufanya malipo yoyote kupitia mtandaoni au kama nina mail yoyote yenye bank acc no na pin no ndo nimeliwa hivyo kwani sasa mail zangu zote wanazisoma wao na kuzijibu na kujaribu kama watampata wa kumuibia kwa kutumia jina langu,hivi hapa kesho niamkie benki kufunga acc zote ili nifungue zingine,habari ndio hiyo,kuweni macho mkipata mail kama hiyo toka hao jamaa wanajifanya yahoo customer care
Go to google search engine type 419 scammers, you will learn alot about these guys! any way welcome to the world of internet