jamani nimeibiwa mtandaoni!

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,107
16,001
wanajamii nimewaletea hiki kitu ili kuwashtua yaliyonitokea na kuwajulisha kuwa macho.

Juzi jumatatu nimepata mail kutoka yahoo ikini warn kwamba kuna wizi wa mail address umetokea na ni lazima nijaze baadhi ya maswali kuthibitisha kama hiyo ni mail address yangu au vipi within two weeks,otherwise wataifunga.

Nikajaa king nikaijibu hiyo mail kwa kujaza yahoo I.D,yangu na password na address na mahali nilipo nikiamini ni msg ya yahoo kwenda kwa wateja wao!kilichotokea sasa ni kwamba hiyo mail address mpaka sasa kila nikijaribu ku log in haikubali tena,nikawa nashangaa.

Sasa leo nimepigiwa simu na watu wangu wa karibu na kusema wamepata strange mail toka kwenye ile mail address yangu kwamba nina shida kubwa nahitaji pesa wanitumie!ndio namimi nikashtuka.

Sasa kingine wanachofanya hao jamaa ni kama niliwahi kufanya malipo yoyote kupitia mtandaoni au kama nina mail yoyote yenye bank acc no na pin no ndo nimeliwa hivyo kwani sasa mail zangu zote wanazisoma wao na kuzijibu na kujaribu kama watampata wa kumuibia kwa kutumia jina langu.

Hivi hapa kesho niamkie benki kufunga acc zote ili nifungue zingine,habari ndio hiyo,kuweni macho mkipata mail kama hiyo toka hao jamaa wanajifanya yahoo customer care.
 
Pole sana. Inafanyika sana. I hope all will be well with you.

Kitu kibaya, huwa wanatumia email yako kusend email kwa rafiki zako wote, na kuomba pesa, na yeyote atakeye watumia hela, basi ndio njia mojawapo wanayotumia kuiba kwa kutumia jina lako na heshima yako

Pole sana once again.
 
Mzee pole...this scam has been there kwa muda mrefu sana...........! Tena nafikiri hata hapa JF kuna member alishatoa warning!....myself nilipata email toka kwa Dr. mmoja (nikidhani) ikisema ameibiwa kila kitu Amsterdam, so tumtumie hela ya nauli!...nikawapigia ndugu zake ....wakanambia Dr. yupo kijijini.....hizo habari za Uholanzi hawazijui.....so we knew ni scam!
 
Mzee pole...this scam has been there kwa muda mrefu sana...........! Tena nafikiri hata hapa JF kuna member alishatoa warning!....myself nilipata email toka kwa Dr. mmoja (nikidhani) ikisema ameibiwa kila kitu Amsterdam, so tumtumie hela ya nauli!...nikawapigia ndugu zake ....wakanambia Dr. yupo kijijini.....hizo habari za Uholanzi hawazijui.....so we knew ni scam!
i see sikuwa na habari kabisa sielewi kwanini yahoo wenyewe hawachukui hatua,hii ni hatari sana hii aaaargh.
 
Pole sana. Inafanyika sana. I hope all will be well with you.

Kitu kibaya, huwa wanatumia email yako kusend email kwa rafiki zako wote, na kuomba pesa, na yeyote atakeye watumia hela, basi ndio njia mojawapo wanayotumia kuiba kwa kutumia jina lako na heshima yako

Pole sana once again.
shukrani mzee,halafu wameniblock siwezi kusoma hata mail zangu tena wao ndo wametake over sasa
 
Reverse engineering your thought process through psychological tactics. The easiest hack.
 
Asiee pole sana najiribu kuset password mpya kwa kutumia tarehe zako za kuzaliwa. hawa jamaa wahajack sana email za watu kwa kuwaliza tarehe zao za kuzaliwa (for creating new password), password na email address.
 
Asiee pole sana najiribu kuset password mpya kwa kutumia tarehe zako za kuzaliwa. hawa jamaa wahajack sana email za watu kwa kuwaliza tarehe zao za kuzaliwa (for creating new password), password na email address.
ok babu lakini wameninyanganya na mail add yenyewe,siwezi tena kutumia,sasa wao ndo wanatumia mi nikitaka kulogin password na user i.d inafail
na kuna vitu vingi sana niliacha kwenye hiyo mail address kwa kumbukumbu zangu mda huu naona wao ndo wanavitumia yaani inatia hasira sana
 
ok babu lakini wameninyanganya na mail add yenyewe,siwezi tena kutumia,sasa wao ndo wanatumia mi nikitaka kulogin password na user i.d inafail
na kuna vitu vingi sana niliacha kwenye hiyo mail address kwa kumbukumbu zangu mda huu naona wao ndo wanavitumia yaani inatia hasira sana

pole sana bro. wasiliana na ofisi muhimu kama kufunga akaunti za benki ,pia wajulishe contact wako wawe na tahadhari na e mail watakazopokea kutoka kwenye hiyo e mail adress yako. ni scam ambayo ishawahi kuwapata hata watu wa vyeo vya juu. pole sana .
 
duh pole sana hawa jamaa sijui hawana kazi za kufanya, maana wao kila sikun wanatafuta mbinu za kuwaibia watu, ila ni watu wengi sana wamefanyiwa hivi, so let us be careful
 
Umejaribu kwenda kwenye "Forgot my password" ?
Anyway kumbuku kuwa hata siku moja website haitakuomba uwatumia password yako.
 
Pole sana mkuu! mimi yaliyonitokea ni zaidi ya hayo!nilipokeaga barua ambayo imeambatanishwa na cheque ya US$ 3,500 nikaambiwa kuwa nimeshinda bahati nasibu za Reader's diggest kiasi cha dola 152,000 na hayo ni baadhi ya malipo yangu! nilipeleka hiyo cheki Banki ikakubali wakaisevu, Nikachomoa hata tu dola 200 nikaenda kunywa zangu bia baadaye waliniambia niwaagizie 2,900 dola kwa ajili ya insurance ya zile pesa zote(152,000-3,500=?) kwa kutumia Western Union, kabla sijafanya hivyo kuna mwanamke fulani mmexico niliarifu, aliniambia kuwa alitapeliwa $4000 kwa njia hiyo yeye alikimbia kununua gARI baadaye kaambiwa arudishe pesa za bank, cheki hiyo ni feki. baadaye account yangu ilifungwa kwa wiki 2 nikidaiwa kufanya Fraud! kumbe cheki ile ilikuwa feki! hasira niliyokuwa nayo, imagine kuingia overdraft baada ya bank kuchukuwa hela zao! acha!bahati nzuri nilikuwa bado sijaagiza hizo $2,900! Dunia Hii!!! Tujihadhari kutowa mambo yetu binafsi!
 
Cheki kama hii ambayo nimeipokea sasa hivi tu!

Attention:

We the management of Toho Tecknology (H.K.)Co Ltd., require
you represent our company for our North American Customers. We
are of the opinion that the ability to consolidate payments
from North America will eradicate delays due to
inter-continental monetary transaction between Asia and North
America .Your consideration of our request is highly
anticipated and we look forward to your prompt response /
request to us at tohotech@sify.com with the following
information,

Note: You are entitled to 10% of any payment received from our customer
through you.

Your Names:
Mailing Address:
Country:
State:
Phone Number:

Sincerely
Chin Kwo
tohotech@sify.com
 
Angalia na hii nimeipokea punde tu!

GOOD DAY.
Thu, October 29, 2009 4:06:14 AM
From:
Charley Mary <charleymary13@yahoo.com>
Add to Contacts
To:
Dear Sir,

We are Charley and Mary the children of Late General Charley the former Director of military intelligence and special acting General Manager of the sierra Leone Diamond mining operation( S.L.D.M.C ). We arecontacting you to seek your good assistance to transfer and invest US 8.5 million belonging to our late father which is deposited in a bank here in Ghana This money is revenues from solid minerals and diamonds sales which were under my fathers possession before the civil war broke out. Following the break out of the war, almost all government offices,operations and parasites were attacked and

vandalized.The S.L.D.M.C was looted and burnt down to ashes,and diamonds worth millions of dollars was stolen by the rebel military forces who attacked our fathers office,many top government officials and senior army officers were assassinated and our father was a key target because of his very sensitive military position and appointment in the S.L.D.M.C.Regrettably, our father was captured and murdered along with his brother in cool blood during a mid-night rebel shoot-out when our official residence in Freetown was ambushed by forded sank o the notorious rebel leader.

Our mother sustained very sever bullet injuries which resulted to her untimely and painful death in a private hospital here in Ghana Now we are alone in a totally strange country without parents, relatives or any body to care for us at our tender ages. Before our mother died, she told us that our father deposited some money which he made from diamond sales and contracts in a bank here in Ghana and that we should pray and find a trust worthy foreign business partner who would help us to transfer and invest this money in profitable business venture overseas.

She told us to do this quickly so that we can leave Ghana and then settle down abroad. She gave us the bank document to prove the deposit and then told us that our father used my name as the only son to deposit the money in the bank.She told us that this is the reason why we came to Ghana. My mother died after wards. May her spirit rest in perfect peace. I have gone to the bank to make inquires about this money and I spoke with the Manager of International remittance who assured me that everything is intact and promised to help us transfer this money to my fathers foreign partners bank account as soon as we provide our fathers partners foreign bank account for them. However,

the manager is very concerned because of our age. I am 25 years why my younger sister is 21 years and as such advised that we should look for a matured person that will represent me at the bank. If you are willing to assist us, please let us know immediately so that you will arrange the transfer of the money to your account with the bank.Please note that we will offer you 10% of the total money as compensation for your noble assistance in accordance with my mothers advise. I am interested in any profitable commercial venture which you consider very good in your country and you would also get a school for me, my little sister so that we can finish our college education.

Please there is urgent need for the money to be transferred to your account because of the political crises they are having in Ghana now. We are hoping to hear your urgent response.

Thank you and may God bless you and your dear family.

Yours sincerely


Remain Bless in Jesus Amen.

Charley and Mary.
 
ah! ah! ah! pole ndugu yangu hata mimi waliiba hivyo hivyo mail yangu wakaanza kuwasiliana na jamaa zangu wa karibu cha kufanya waandikie yahoo watakuuliza maswali machache ukijibu tu wanakurudishia mail yako na wewe haraka haraka unabadilisha password ila kitu cha kufanya uwe unakumbuka ulifungulia nchi gani , tarehe ya kuzaliwa na pia lile swali ya security ambayop ulichagua ukajijibu wewe likumbuke.
Pole sana utafanikiwa ndugu yangu
 
najua hata boss wa FBI yalimkuta, lakini watu mnakubali kwa urahisi kutoa personal information. jiulize mara mbili kabla ya kuingia mkenge, ni kama mtu akakwambia vua nguo tukague kama huna silaha....utakubali? tumia mentality hiyo, hutaumbuka hata siku moja.
 
watafute yahoo customer care wanaweza kukusaidia.............fungua email address nyengine ya yahoo, kisha uwasilishe ushahidi kuwa email ni yako, na kuwaomba waifunge coz imekuwa hacked

(kuna mtu alipoteza email yake ya hotmail na alifanya hivyo akafanikiwa...shukran)
 
shukrani mzee,halafu wameniblock siwezi kusoma hata mail zangu tena wao ndo wametake over sasa

Pole sana, walichofanya wamebadirisha password yako.

Tunashukuru kwa kutuarifu, na kingine ni kwamba kama una email address nyingine, ambayo una email address za washikaji zako, uwaandikie kuwahabarisha hilo maana wataibiwa sana kama hawajakutana na usanii wa aina hii.
 
Pole sana, walichofanya wamebadirisha password yako.

Tunashukuru kwa kutuarifu, na kingine ni kwamba kama una email address nyingine, ambayo una email address za washikaji zako, uwaandikie kuwahabarisha hilo maana wataibiwa sana kama hawajakutana na usanii wa aina hii.
poa uzuri na wao wanashtuka wananipigia simu na kuuliza,au wakiwajibu jamaa kwa kiswahili au kilugha jamaa wananyuti hawajibu,lakini nnachohofia ni maswala yangu mengine maana nilitumia hiyo address kwa kila kitu,hapa mwishoni nilianza kushtuka maana e mail nyingi zilikua zinaingia za watu nisiowajua nikashtuka kama maybe e mail yangu iko open na mtu yeyote anaweza kunitumia mail lakini nimechelewa kuchukua hatua,na kuna jamaa alitoa tahadhari kwa michuzi nilidharau.
 
Hizi ni baadhi ya hasara za vitu vya bure kama yahoo. Kweli tuwe makini na hizi ishu.
 
Back
Top Bottom