kimpango
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 600
- 716
- Thread starter
- #21
jaani nilivyoeleweshwa ni kwamba Pride hii imeamua kuingia mpaka vijijini kwa kutumia kampuni yake tanzu iitwayo PRIDE (T) RURAL FINANCE WINDOW hii ni kwa wakulima ambao in normal sense hawawezi kukopeshwa na other financial institutions kama banks kwani awa hawana dhamana kama ardhi iliyopimwa wala nyumba za maana na kwa kilimo cha kuanzia 300000 ni kubwa sana kwani mi mwenyewe
shamba nimekodi sh 15000
kulima sh 30000 trecta kwa ekari
gharama za mbegu ni 1 kg =3000 sasa nimetumia kilo 6 =18000
kupalilia=15000
mbolea ukipenda =20000
kupalilia tena 15000
kuvuna =15000 kwa ekari
storage=1000 kwa gunia kwa mwezi ili usubiri bei ipande
gharama za jumla=128000 sasa ongeza na zusafiri labda 50000 utakuta unabakia na kiasi kikubwa tu cha kukulinda piga picha ukiuza gunia moja 35000 kwa bei ya shambani huku unagunia 35-40 kwa ekari utakuwabado hujajikomboa tu?