Jamani niliwa-miss kweli!

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
Ndio nimerudi jana kutoka Mbekenyela Lindi kusimamia Harusi ya Shoga yangu, hamjambo wana JF wote!
nawatakia sikukuu njama za X-Mass na Mwaka Mpya, Inshaallah Mungu akipenda nitakuwa Jijini Dar, tusinyimane Pilau jamani!
 
nimekukumbuka leo hii hii.......nilitaka kujua yule shogako aliyekuazima zile zahabu zako alikurudishia....?...au ndo huyo aloolewa.....?
 
Karibu! Umefika muda mzuri ndiyo tunainjika sufuria "Jikoni ongezeni maji tuna mgeni". Haya Da' Zindu tupe story harusi ilijibu ? Au abracadabra darasa lilikutwa halina madawati ? Alafu nawewe ya kwako lini ?
 
Karibu Zinduna
Tumemiss vituko vyako
Hope umerudi na kasha halijatumiwa
kumbuka uliondoka ukiwa umesema halijatumiwa
nakuja kulipima leo leo
 
Hahahhahaa...hivi haya mambo bado yapo jamani...! Umenikumbusha mbali aisee..
 
nimekukumbuka leo hii hii.......nilitaka kujua yule shogako aliyekuazima zile zahabu zako alikurudishia....?...au ndo huyo aloolewa.....?
Mwenzangu nilimpeleka kwa Sheha, akaomba apewe muda mpaka Januari atanirejeshea.............. siku zinahesabika mwanakwetu
 
Karibu tena Zinduna, umetuletea korosho?

Korosho au KONGOSHO.......LOL, nilikuja na korosho lakini ndugu zangu wa hapo Dar wamezigombea, subiri nakuja kula sikukuu huko Dar, nitakuletea Halua, nitakujuza pa kuipata, au hupendi halua wewe!?
 
Karibu! Umefika muda mzuri ndiyo tunainjika sufuria "Jikoni ongezeni maji tuna mgeni". Haya Da' Zindu tupe story harusi ilijibu ? Au abracadabra darasa lilikutwa halina madawati ? Alafu nawewe ya kwako lini ?

Kule harusi ilifungwa kiislamu, waoaji waliandaliwa Soro na manyama-nyama, kisha likaandaliwa Biriani la nguvu. harusi yangu nasubiri ajitokeze mwana JF Muislamu wa Swala tano tutakayepatana
 
Karibu Zinduna
Tumemiss vituko vyako
Hope umerudi na kasha halijatumiwa
kumbuka uliondoka ukiwa umesema halijatumiwa
nakuja kulipima leo leo

Kule Mbekenyela watu bado washamba sana hakuna mjanja wa kunilaghai, hivi nimekosa mume huku mjini mpaka nikaiache Bikra yangu huko kijijini! Kha!!!
 
Una utani
Kidole na macho
Majina ya watu hayo, yalitungwa kwa gharama kubwa sana
Korosho au KONGOSHO.......LOL, nilikuja na korosho lakini ndugu zangu wa hapo Dar wamezigombea, subiri nakuja kula sikukuu huko Dar, nitakuletea Halua, nitakujuza pa kuipata, au hupendi halua wewe!?
 
Weee binti ulipotea kweli.... Mzima wewe?

Haya nenda jukwaa la wakubwa ukatuongezee yako pale (sijui una access tumuombe Smiles akupatie?)lol
 
Da AshaDii, Mie sijawahi ona hilo jukwaa la wakubwa, natakiwa kuwa na passaword, na je nitaipataje........?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom