Jamani nifanyeje wana JF?

Mdau Mkuu

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
233
45
Yakhe mie yamenikuta yasiyotakiwa kunikuta mie!

Yapata miezi mitatu nimejikuta titi langu la kushoto limetuna na lina kama tudude tumetunatuna na ukilikamua linatoa maji maji japokuwa kwa sasa halitoi maji ila bado tule tudude tupo na tunaendelea kunikosesha amani!Kwa sasa sivai T-shirt za kubana maana nyonyo moja kubwa lingine dogo!

Wadau kijiweni wanadai nimerogwa ama nimetembea na mke wa m2 au ndo homoni za kike ndo zinaanza ama za kishoga, japokuwa mzee yupo poa nashindwa kumgonga demu wangu maana aibu ndugu zangu, sa mie cjui niende wapi maana hata doctor atanishangaa kama sio kunitamani chuchu langu!

Wadau nisaidieni maana nashindwa lakufanya mie? ntashukuru mkinipa ushauri!
 
Yakhe mie yamenikuta yasiyotakiwa kunikuta mie!Yapata miezi mitatu nimejikuta titi langu la kushoto limetuna na lina kama tudude tumetunatuna na ukilikamua linatoa maji maji japokuwa kwa sasa halitoi maji ila bado tule tudude tupo na tunaendelea kunikosesha amani!Kwa sasa sivai T-shirt za kubana maana nyonyo moja kubwa lingine dogo!Wadau kijiweni wanadai nimerogwa ama nimetembea na mke wa m2 au ndo homoni za kike ndo zinaanza ama za kishoga,japokuwa mzee yupo poa nashindwa kumgonga demu wangu maana aibu ndugu zangu,sa mie cjui niende wapi maana hata doctor atanishangaa kama sio kunitamani chuchu langu!Wadau nisaidieni maana nashindwa lakufanya mie?ntashukuru mkinipa ushauri!

ushauri kutoka kwangu ni uende ukamuone daktari
 
Fuata ushauri wa shosti preta
 
mdau mkuu inaonyesha unapendwa sana na Mungu, kila siku unaumwa wewe tu maskini!
 
Saratani ya matiti huwashika wanaume pia kwa taarifa yako. Usiogope kwenda hospitali ukachekiwe sawasawa.
 
...sa mie cjui niende wapi maana hata doctor atanishangaa kama sio kunitamani chuchu langu!Wadau nisaidieni maana nashindwa lakufanya mie?ntashukuru mkinipa ushauri!
Yaani watu wengine huwa mnashangaza sana, hata kwenda hospitali pia unataka watu wakupe ushauri...!?
 
Yakhe mie yamenikuta yasiyotakiwa kunikuta mie!Yapata miezi mitatu nimejikuta titi langu la kushoto limetuna na lina kama tudude tumetunatuna na ukilikamua linatoa maji maji japokuwa kwa sasa halitoi maji ila bado tule tudude tupo na tunaendelea kunikosesha amani!Kwa sasa sivai T-shirt za kubana maana nyonyo moja kubwa lingine dogo!Wadau kijiweni wanadai nimerogwa ama nimetembea na mke wa m2 au ndo homoni za kike ndo zinaanza ama za kishoga,japokuwa mzee yupo poa nashindwa kumgonga demu wangu maana aibu ndugu zangu,sa mie cjui niende wapi maana hata doctor atanishangaa kama sio kunitamani chuchu langu!Wadau nisaidieni maana nashindwa lakufanya mie?ntashukuru mkinipa ushauri!

mkuu usifanye mchezo na hiyo kitu, hakuna daktari atakayekushangaa au kutamani hilo chuchu lako. Acha kuchezea maisha, kuwahi kufanyiwa uchunguzi ni vyema zaidi ya kukaa na hizo fikra ulizonazo.
 
go to the hospital as soon as possible,mficha maradhi.........mficha uchi......

pole sana kaka
 
acha kuhatarisha maisha yako ndugu kimbilia hospitali haraka iwezekanavyo hiyo hali wao wanavipimo vya kuweza kujua tatizo ni nini sisi kwa maelezo uliytoa hapa tunakupenda sana na kukushauri ukimbilie hospitali harakaa iwezekanavyo acha kufikiria hiyo habari ya kuwa umerogwa, maana waweza kwenda kumuona dr nanii kule mafichoni
 
Nashukuru sana Wadau wangu,ngoja nkimbie hospital icjekuleta saratani ya Nyonyo afu wale kinamama wanaotibu bure wakanigomea bure!nashukuru sana
 
Back
Top Bottom