Jamani nienda wapi leo, hizi zinaniwasha sana.....

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
302775_428033403926636_1047432159_n.jpg
 
Elekea kimboka pale buguruni utapata kila kitu ila usisahau kutupa report ahahahaaaaa
 
Million sita tu!!!

Halafu huyo aliyepiga picha hii kama namfahamu!
 
hizo za moto si unaona kuna bastola na simu hapo? chezea vijana wa mwema weye?
 
Nenda nazo Ohio au Kinondoni uchukue dada poa halafu kesho ulete taarifa. Ikishindikana basi nenda zako maeneo ya Sitakishari ukamate manywaji huku ukionyesha hiyo minoti yako.
 
Mkuu kuna Pub moja inayoitwa laki ci pesa.. Nenda pale utakunwa mpaka utatoka unga.. Cifa kubwa ya pale ni kwamba mwisho wa ciku utaondoka na nguo ya ndani tu..
 
Hivi hako ka PK Si kana 8 slugs tu? Sa ukikutana na wahuni wanakupopoa? Au kuna nyingine ya kwenye buti kama Malima?
 
Hizo pesa, simu na bastola sio vya marehemu kamanda Barlow.......Mbuzi Mzee unatafuta balaa na Mwema
 
Mbuziiiiiiiiiii ama kweli wewe umepinda sana!!! Duh, si nafuu uwaalike akina Preta, Ciello, slim na wanajamvi wetu wengine walau wakasaidie kusherehekea ushindi wa kishindo wa chaguzi za leo? Ila mimi mwenzangu naomba uniache maana huo mguu wa kuku unatisha.
 
Sawa sawa Mkuu, ngoja ni wa PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom