jamani nichukue degree gani ya IT hapo baadae....

Jestina

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,831
1,707
naombeni muongozo wapendwa...
nataka kusoma IT ila sijui nisome nini hapo baadae.....sina qualifications nataka nichukue dimploma in IT this year ,halafu nichukue degree....naombeni mniambie nichukue degree gani ya IT

degree gani,na salary gani(shiling ngapi) once ukiqualify nataka kujua?nipo hapa Uk..asanteni:hug::hug:
 
Are u serious ? kwanza unataka kuchukua kitu ambacho inaonekana huna interest nacho. Kama kweli una mwelekeo huo basi saa hizi ungeweza angalau ku-"Google" ukajua kuna masomo gani kuona ability na interest yako ipo wapi. Watu wanaweza kukushauri baada ya wewe kuamua baina ya A na B ipi bora? Katika IT kuna courses kibao, watu wanaweza kukushauri kitu ambacho huna interest au huna uwezo nacho ki-masomo. Suala hapo si utapokea elfu ngapi baada ya kumaliza,.... interest, uwezo wa wewe kufaulu, upatikanaji wa kazi huko utakakoishi then na huo mshahara.
* Ukitaka msaada kwanza fanya homework yako vizuri baadae ushauri utakurahisishia katika maamuzi. Goodluck!
 
Haya maajabu, unataka kusoma IT na unaulizia mshahara!!! halafu hiyo Uk.... ni ya wapi ama ni hii ya madafu, Kisiwani, Jeshini au unamaanisha nn, kama hiyo Uk... ni ya hapa bongo, fika ifm au ucc utapata msaada wa kutosha sema hawatakuambia mshahara sh ngapi labda namna ya kukabiliana na supps
 
Asante lakini am 27, am old enough kujua,sio kila fani ama kazi kila mtu amesomea kutokana na kuwa interest nayo-wengi mazingira yamewafanya wasome vitu tofauti na walivyokuwa wanavitaka udogoni....
and i believe,if you put your efforts hamna masomo magumu ila nisingependa kuwa stuck hapo mbeleni,kwa kusoma kitu ambacho kiko too general ndio maana nikataka muongozo na salary zake ndio kigezo cha kunipa huo muongozo.............
...nataka kuchukua Bsc.Computer network and security ila sijajua nikimaliza itanipa kazi ya shilingi ngapi? bado nasubiri michango ya wengine nisomee kozi gani?

Thanks.:A S 465:
 
Haya maajabu, unataka kusoma IT na unaulizia mshahara!!! halafu hiyo Uk.... ni ya wapi ama ni hii ya madafu, Kisiwani, Jeshini au unamaanisha nn, kama hiyo Uk... ni ya hapa bongo, fika ifm au ucc utapata msaada wa kutosha sema hawatakuambia mshahara sh ngapi labda namna ya kukabiliana na supps

thanks nipo United Kingdom,i have been here 8 years,ilikuwa nichukue nursing ila mambo yangu fulani hayakukaa sawa sasa ndio nataka kuchukua computing ndio nataka muongozo kama kuna waliosoma hapa IT walichukua degree gani kisha wanalipwa shiling ngapi baada ya kuqualify...

Thanks.
 
hahahaha
 
Nakushauri chukua hiyo networking na security ila jitahidi usome pia OS angalau mojawapo kama uko shoka sana soma linux/unix....plus networking yako hiyo(ccna) inatosha sana sana sana itakutoa tu!!
 
asante kwa mchango wako...
 
Kwenye uwanja wa IT saiv naona kinacholipa ni course za networking, CCNA/CCNP , pia CISM na CISA pia. Ukifanya degree inayorelate na computer networks itakuwa rahis kuja kufanya mitihani hiyo ya Cisco. I assure you watu wenye certificates za CISCO wanapata pay nzuri sana.
 
mimi nakushauri angalia google.. soma trends.. Unasoma degree miaka 3, kwenye IT miaka 3 ni mingi sana. Mambo mengi yanabadilika within three years. So kama kitu kinamarket now haimanishi kitabaki hvyo hvyo..

Actually, you need to have your career plan. Assess yourself, and try to see what you wanna do 5-10 years later.. IT ni rahisi kusoma, but to keep, it needs some real effort. Just a single upgrade can make u useless in a company!
 
Kwenye uwanja wa IT saiv naona kinacholipa ni course za networking, CCNA/CCNP , pia CISM na CISA pia. Ukifanya degree inayorelate na computer networks itakuwa rahis kuja kufanya mitihani hiyo ya Cisco. I assure you watu wenye certificates za CISCO wanapata pay nzuri sana.
Hivi tukizungumzia kwa Bongo Mtu mwenye CCNP na mwenye CISA/CISM ....nani anayepata Mshiko zaidi?
Pia kati ya Cicso(CCNA/CCNP) na CISA ipi ina market kubwa sana Bongo?
 
Nadhani kwa bongo ni bora kuavoid programming hiyo ndo riskiest, nenda kwenye Networking, Cisco, Huawei etc, Telecoms.
Admin za aina tofauti.
Kuna hizi za kukagua systems zinafanywa na makampuni ya accounting nimesahau jina kidogo.
Unaweza ukaenda kwenye graphics/3d etc lakini hizi sio za kwenda kama hauna interest nazo, utachemsha fasta.
 
Mshahara huwa unategemea na utendaji kazi wa mtu na kampuni anayofanyia, kama utasoma Networking na Internet security uwezekano wa kupata kazi bank ni mkubwa na pesa ni nzuri, ila itakubibi pia upige Linux (RedHat Certification)
 
unaweza cheki mobile applications development inaendaje.. Ni HOT sasa hv, na few years later...
 
Back
Top Bottom