Jamani niasidieni,jimbo la Serengeti kuna shetani gani pale

SAGANKA

JF-Expert Member
Jun 9, 2012
313
202
Kati ya wilaya tano za mkoa wa mara,yaani Musoma mjini,Musoma vijijini,Serengeti,Bunda,Tarime na jimbo la Kibala,ni katika wilaya ya serengeti ndo mheshimiwa dhaifu aliongoza kwa kura nyingi,tena ilikuwa kati ya tatu au ya nne kitaifa kwa wingi wa kura za dhaifu.Wakati huo ni ya tano kwa umaskini kitaifa kwa takwimu za 2005.Ina eneo la km za mraba 10,300 kati ya hizo km za mraba 7,000 ni eneo la mbuga ambalo ndani yake mr dhaifu ana hotel kubwa sana pale na nadhani ndio moja ya sababu zinazomfanya alazimishe kujenga barabara ya lami kupitia mbugani serengeti pamoja na wataalamu kumkatalia.Jambo moja nililogundua ni kwamba injili ya ukombozi kisiasa haijafika sawasawa pale,upinzani pale ni dhaifu.Watu wa serengeti tuliomo humu jamvini,twende serengeti tukawakomboe ndugu zetu kutoka mikononi mwa magamba,hili linawezekana kabisa.Nipeni mchango wa mawazo
 
Patrice Marwa Warioba, kiongozi wa CDM kata ya Natta na mfanyakazi wa Mwl Nyerere Museum, kijana mwanaharakati na msomi ndiye atakayechukua jimbo hilo 2015 kupitia CDM.
 
Kwa hiyo umesahau kwamba mkoa wa Mara kuna Wilaya/Jimbo la Rorya?
Jamani watu Serengeti mlioko humu Jf nendeni mkalikomboe jimbo hilo kwani 2015 Magamba hawana chao ndani ya mkoa wa Mara na majimbo yake yote saba, ambayo ni Rorya, Tarime, Bunda, Mwibara, Serengeti, Musoma Mjini na Musoma Vijijini!
 
Kati ya wilaya tano za mkoa wa mara,yaani Musoma mjini,Musoma vijijini,Serengeti,Bunda,Tarime na jimbo la Kibala,ni katika wilaya ya serengeti ndo mheshimiwa dhaifu aliongoza kwa kura nyingi,tena ilikuwa kati ya tatu au ya nne kitaifa kwa wingi wa kura za dhaifu.Wakati huo ni ya tano kwa umaskini kitaifa kwa takwimu za 2005.Ina eneo la km za mraba 10,300 kati ya hizo km za mraba 7,000 ni eneo la mbuga ambalo ndani yake mr dhaifu ana hotel kubwa sana pale na nadhani ndio moja ya sababu zinazomfanya alazimishe kujenga barabara ya lami kupitia mbugani serengeti pamoja na wataalamu kumkatalia.Jambo moja nililogundua ni kwamba injili ya ukombozi kisiasa haijafika sawasawa pale,upinzani pale ni dhaifu.Watu wa serengeti tuliomo humu jamvini,twende serengeti tukawakomboe ndugu zetu kutoka mikononi mwa magamba,hili linawezekana kabisa.Nipeni mchango wa mawazo
SAGANKA nilivyoona kwenye post moja ukiwabagua akina mama basi nikajua utakuwa unatokwa kasikazi; kumbe kweli!

Serengeti inakuwaje masikini wakati ina mbuga ile murua na mahotel kibao mbugani. Nendeni mkajifunze kwa wenzenu wa County ya Narok kule Kenya. Wao wana Masai Mara imbayo ni sehemu tu ya serengeti lakini wako vyema sana.
 
Last edited by a moderator:
heb watu wa hapo serengeti lifanyieni kazi hilo swala,hatutaki kuona jimbo la magamba mkoa wa mara 2015.Pamoja na kwamba Kangi bomba namheshimu sana lakini kama ataendelea kukaa ugambani basi hana chake hapo mwibara 2015
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom