Jamani ni vije hapa...................?

Kaka, dada, mama, baba, bibi na babu zangu
Natumaini wote wazima.................
Jamani nimekaa hapa masikiliza hizi nyimbo za zamani toka Uhuru FM nikakutana na huu wimbo wa zamani, unaimba
"Kisa alichonitenda Rehani oh sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mume wangu ili niishi naye.
Nimeachana na Mume wangu eh nimekwenda kwa Rehani,
baada ya muda si mrefu, asema niondoke sina tabia nzuri oh....................

Npmebaki najiuliza maswali mawili, Najua haya mambo yanatokea kwa watu.............
1. Hivi wanaume mnapotushawishi kuchukua uamuzi wa aina hii huwa mnamaanisha au ndo kutukejeli? :frown:
2. Sie kina dada, how comes tunaamini ahadi kama hizi?.......Hivi kweli tunadanganyika??

MJ1

A true man, hatakwambia umuache mmeo, sanasana atakutongoza na kuweka uhusiano na wewe [INFIDELITY]... anaekwambia achana na mumeo huyo ni hatari na ni wa kumkimbia kwa kasi ya michael schumaker
 
Kaka, dada, mama, baba, bibi na babu zangu
Natumaini wote wazima.................
Jamani nimekaa hapa masikiliza hizi nyimbo za zamani toka Uhuru FM nikakutana na huu wimbo wa zamani, unaimba
"Kisa alichonitenda Rehani oh sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mume wangu ili niishi naye.
Nimeachana na Mume wangu eh nimekwenda kwa Rehani,
baada ya muda si mrefu, asema niondoke sina tabia nzuri oh....................

Npmebaki najiuliza maswali mawili, Najua haya mambo yanatokea kwa watu.............
1. Hivi wanaume mnapotushawishi kuchukua uamuzi wa aina hii huwa mnamaanisha au ndo kutukejeli? :frown:
2. Sie kina dada, how comes tunaamini ahadi kama hizi?.......Hivi kweli tunadanganyika??

Anaeshawishi mke amweche mme anaweza kuwa mwanzoni.....ila mke akishatoka kwa mmewe and on a secong thought, jamaa ataona uwezekano wa yeye pia kuachwa kama ikija better offer....
 
mi ni mdada .......sio wote wanaolewa sababu wanajua maana ya ndoa wengine tunajifunza tukiwa ndani na haya yanategemea na mazingira tulimokulia hapa wanawake wanakuwa ndo waathirika wakubwa wa haya mahusiano kwa sababu ya mfumo dume uliojikita kwenye jamii zetu kwakweli huwa nawaonea huruma sana wadogo zangu na huwa siachi kuwaeleza kila siku
Chauro dada/kaka yangu, umri mdogo ni upi?
 
dunia sasa imani imekwisha......
roho za watu zimebadilika....
wala hakuna uaminifu tena....
si wanawake..si wanaume..
si watoto ..wala si vijana...
wote tunakwenda msamba msamba.....
KWENYE WATU KUMI BINADAMU MMOJA.......
 
bora wewe umesema ukweli tumekuwa wanyama wa mwituni hatuna huruma hata kidogo tunafurahia kuona wengine wakiangamia sisi tukiendelea kula kuku na kuwasengenya

dunia sasa imani imekwisha......
roho za watu zimebadilika....
wala hakuna uaminifu tena....
si wanawake..si wanaume..
si watoto ..wala si vijana...
wote tunakwenda msamba msamba.....
KWENYE WATU KUMI BINADAMU MMOJA.......
 
kwa kweli hilo ndo tatizo kama watu wanaoa/olewa wakati bado mtu hayuko tayari....
au kuchanganya mali na upendo....
ndo maana matatizo kama haya yanatokea....
kwa kweli sidhani kama wanawake ni rahisi kudanganyika hivyo....(especially walio na ndoa zao)
ila saa nyingine ni tamaa tuu..
kama kweli unazingatia misingi yako ya ndoa huwezi ingia kwenye hayo matatizo...

:ranger::ranger::ranger:
 
Anaeshawishi mke amweche mme anaweza kuwa mwanzoni.....ila mke akishatoka kwa mmewe and on a secong thought, jamaa ataona uwezekano wa yeye pia kuachwa kama ikija better offer....
Hili haswaaaa ndilo nemo aksante Babu kwa kuliweka vizuri. Na hapo ndipo ninaposhangaa kuwa sometimes inawezekana tunafanya maamuzi pasipo kufikiri akwa mapana..... tunaishia kuangalia tu kuwa ananipenda bila kufikiria kama atakuamini tena baada ya kuondoka kwa mumeo kwa sjili yake............

Hivi na yule anayekushawishi umwache boyfriend wako kwa ajili yake haina tatizo??
 
St?......mmmhh
 
The :A S crown-1:....Ishu ni kutokufuata rules za infii ndo inawapelekea hapo wanapo fika...

halaf hawa wakina mama hawa wamezidi kutuonea.................!
haiwezekani mtu anajitongozesha/anatongozwa pia,anavua bikini KWA RIDHAA YAKE,na akiwa na AKILI TIMAMU,jamaa anapasha halafu finally anamlaumu jamaa kwamba AMEMSHAWISHI sijui AMEMBAKA hata sielewi kwakweli!
 
Kaka, dada, mama, baba, bibi na babu zangu
Natumaini wote wazima.................
Jamani nimekaa hapa masikiliza hizi nyimbo za zamani toka Uhuru FM nikakutana na huu wimbo wa zamani, unaimba
"Kisa alichonitenda Rehani oh sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mume wangu ili niishi naye.
Nimeachana na Mume wangu eh nimekwenda kwa Rehani,
baada ya muda si mrefu, asema niondoke sina tabia nzuri oh....................

Npmebaki najiuliza maswali mawili, Najua haya mambo yanatokea kwa watu.............
1. Hivi wanaume mnapotushawishi kuchukua uamuzi wa aina hii huwa mnamaanisha au ndo kutukejeli? :frown:
2. Sie kina dada, how comes tunaamini ahadi kama hizi?.......Hivi kweli tunadanganyika??

MJ1..hapo kuna mambo mawili: Kushawishiwa na mtu (sio lazima awe mwanaume anyways) na kukubali kushawishiwa...

sasa yote yanaweza kuwa mazuri au mabaya kutegemea na preconditions....

Hivi kama upo kwenye mateso mtu akakushawishi njia bora ya kuondokana nayo, anakuwa amekukejeli...? (maana huo wimbo unazungumzia extreme/exceptional case) ambapo aliyeachana na mumewe akienda kukumbana na masaibu....
Lakini kama kuna problems,,, na kama hujaona problems kwenye 'makao mapya' huu ujumbe kwenye wimbo unakuwa immediately invalid

That said, kukubali kushawishiwa kuoaonyesha uzito wa hoja za mshawishi na SIO JAMBO BAYA hata kidogo....hivi tusingekuwa tunakubali kushawishiana, kumegana kungekuwepo kweli and eventually kuendeleza kizazi?

MJ1, hujakosea hata kidogo....move on!
 
Hili haswaaaa ndilo nemo aksante Babu kwa kuliweka vizuri. Na hapo ndipo ninaposhangaa kuwa sometimes inawezekana tunafanya maamuzi pasipo kufikiri akwa mapana..... tunaishia kuangalia tu kuwa ananipenda bila kufikiria kama atakuamini tena baada ya kuondoka kwa mumeo kwa sjili yake............

Hivi na yule anayekushawishi umwache boyfriend wako kwa ajili yake haina tatizo??

wote wale wale.....
 
kwani huu wimbo unazungumzia kwamba alimshawishi coz ya mateso/shida azipztazo? siujui wote lakini kwa kipande MJ1 alichokiweka inaonyesha walishawishiana kwa tamaa zao tu.
 
:sleepy::sleepy::sleepy:
 
Hili haswaaaa ndilo nemo aksante Babu kwa kuliweka vizuri. Na hapo ndipo ninaposhangaa kuwa sometimes inawezekana tunafanya maamuzi pasipo kufikiri akwa mapana..... tunaishia kuangalia tu kuwa ananipenda bila kufikiria kama atakuamini tena baada ya kuondoka kwa mumeo kwa sjili yake............

Hivi na yule anayekushawishi umwache boyfriend wako kwa ajili yake haina tatizo??

Kuachana na mtu ambaye huna komitments za kindoa ina tofauti sana na hii ya mke....(nasubiri utangaze nia yako....)

St?......mmmhh

St. ni kifupisho cha street.....yaani mtaa...infact unaweza kuita Mt. RR.....hopefully bado unanipenda! Sijawahi kuguna kuhusu Nyamayao....
 
Mjukuu hebu niukuulize: Huyo Rehani mpaka anakudanganya uachane na mumeo:

Mlikutana wapi? Mlikuwa mmesha do the needful? Mnakuwa mmenogewa?

Mjukuu, bado nasubiri majibu ya haya maswali yangu hapa.
 
kwani huu wimbo unazungumzia kwamba alimshawishi coz ya mateso/shida azipztazo? siujui wote lakini kwa kipande MJ1 alichokiweka inaonyesha walishawishiana kwa tamaa zao tu.

Luv, lazima goia ya mateso ilikuwapo tu maana anasema kuwa alishawishiwa na rehani amwache mume wake ili akaishi naye......sasa sidhani kama pangekuwa shwari tu angekubali kuachana na mumewe, I mean kama ni ku do infii si angeenda kisha arudi kwa mumewe? LOl

Gmorning luv...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom