Jamani ni umri gani sahihi wa kuoa?

mtoa mada anauliza wakati huohuo maamuzi anayo sijui ndo nini!!! upande mwingind kama vile anataka mpenzi humu jf ila anazunguka ukuta tu,.
 
naona uzee unaninyemelea wandugu sina mshichana na wala sijawa na hisia za kuanza kutafuta na ki finacial nipo safi na kielimu pia ..but i realy dont know the age of getting marriage.. nakaribia kuwa na miaka 30 baada ya mwaka mmoja ..je nitafute mke au bado niendelee kuwa bachela?
kuna tatizo lolote kubaki hivi ..msaada wenu watu wangu unahitajika hapa ..msinirushia madongo kwani mawazo yenu as a great thinker yatanijenga na wala sio kunibomoa ..
thanks guys and have a nice time:
Yani ww ni kama mimi tu.
 
Umenishauri vyema sana asante
Khaaaaa!!!! Kwa hyo nawe umekubali ubanjuke kwanza ukichoka ndo uoe???? Hivi hapo upendo kwa mkeo utatoka wap wakat unajua wanawake Wa kila aina????
Nakushauri kaka'ngu. Umri wako huo Wa 28 Ni muafaka sana kuoa. Kama hakuna kizuiz chochote kwa maana ya maandaliz ya awali, basi OA, nasema OA, yaani wewe OA.
 
VIP ulishaoa??au bado??
Sijaoa'!! Nilienda Masomoni nimerudi muda si mrefu.. Na nilibanwa hadi nikaisahau JF si unaona ID yangu ya zamani ila post chache.. But at leasg now nina time ya kuja jf.. Mkuu wangu now ndio natafuta mke sasa na nipo DSM...
 
Pale ambapo utampata mtu unayempenda kwa dhati naye akakuelewa.Na kukukubali jinsi ulivyo.Najua kupata mwenza wa maisha ni kazi ngum kidogo ila tulia muombe Mungu.Bora uchelewe kufika lakini ufike salama.
 
Sijaoa'!! Nilienda Masomoni nimerudi muda si mrefu.. Na nilibanwa hadi nikaisahau JF si unaona ID yangu ya zamani ila post chache.. But at leasg now nina time ya kuja jf.. Mkuu wangu now ndio natafuta mke sasa na nipo DSM...
Huko ulikotoka kulikuwa hamna wanawake? Sahiv utakuwa Na 36 sasa sio?
 
Mmh utampata wap wa chap chap namna hiyo??
Sio kwamba hayupo kabisa, kuna binti nina mtoto naye na mtoto kazaliwa tu juzi tar 23 Kairuki hsptl.. So inthink i have to Marry her kwa sababu naona binti ana kila kitu ninachokitaka mke wangu awe nacho. Kwa sababu kila nikijaribu kuangalia wengine akili hainipi.
Utapata kadi kiongozi.. Kama upo DSM.
 
Nipatie Tu, sasa mbona umeanza uzinzi kabla ya ndoa? Nani alikufundisha hii mambo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom