Jamani ni saidieni mimi

makomimi

Member
Sep 28, 2011
35
5
Ni mwaka wa pili tangu nioe, ila mwezi wa 11 mwaka jana mke wangu kaanza mauzauza. Anatoka asubuhi kurudi ni saa sita au asubuhi ya siku inayofuyata. Kafanya hivyo kwa muda wa miezi miwili sasa na mimi sikutaka kumuuliza wala kumugasi kwa lolotelile saabu nampenda sana na ninafahamu yeye pia nimtu mzima so maswala ya kuulizana ulikuwa wapi au umelala wapi si ishu.

Ila jana kaniambia anataka taraka yake tena akiwa analia kumuuliza sababu, anasema eti si mjali kwa sababu alikuwa akilala nje na kuchelewa kurudi nyumbani akitegemea nitamuuliza na kumfokea lakini haikuwa hivyo so anahisi naeza nikawa simpendi au kama si hivyo, basi ninademu mwingine na anataka ujua msimamo wangu uko wapi? Mpaka sasa sijajua la kufanya nisaidieni ndugu zangu.
 
Minaona ww akili yko haina akili..mke anarudi asbh humuulizi? Eti unampenda sn..inawezekna ana sauti kuliko ww. Hyo sbb ya talaka ni kwamba ameshanogewa na huko nje so anaomba umpe aende akafaidi zaidi. Angekuwa anakupenda asingekuwa mlala nje..

Aah mapenzi bana.
 
Huyo alikuwa anatafuta sababu, alivyoona umekauka ukumuuliza pia kapata sababu, piga chini hiyo itakuletea maradhi.
 
We msukuma nini? maana siku mbili hizi kuna vitopic vilikuwa vinawaongelea wasukuma walivyomazoba wa kupenda, tena mwanamke mwenyewe kama mweupe ndio balaaa, hata unyayo utamlamba.
 
huyo mwanamke mwendawazimu kwahiyo alifanya hivyo ili umuulize???na wewe kumpenda mtu ndo hivyo kweli,we unajua alikua wapi na nani....mi naona nyie wote wawili mnahitaji brain check- up and psychological advice,you guys might have those problems
 
kwanza una umri gani,na huyo mkeo nae ana miaka maingapi?????au broo ashafanyiwa mambo ya kiswahili.....maana i don think hilo ni swala la kukaa chini na kuomba msaada
 
Piga moyo konde, make sure una kifua! Kwani Mkeo kapewa nje sasa anataka kuhamia, sasa chagua, kuendelea kumpenda (yaani kumsamehe kwa lolote utakaloconfirm hapo baadae juu ya hako katabia) AU kusitisha mapenzi (yaani kumpa talaka anayoitaka)
Akili kumkichwa bro na umshirikishe sana Mungu wako kwenye hayo maamuzi.
 
We msukuma nini? maana siku mbili hizi kuna vitopic vilikuwa vinawaongelea wasukuma walivyomazoba wa kupenda, tena mwanamke mwenyewe kama mweupe ndio balaaa, hata unyayo utamlamba.

Sikia ndugu yangu kama nikimuacha nitaacha wangapi afu pia sipendi mtoto wangu alelewe na mzazi mmoja, napenda apate malezi ya wazazi wote wawili. swala si usukuma
 
Piga moyo konde, make sure una kifua! Kwani Mkeo kapewa nje sasa anataka kuhamia, sasa chagua, kuendelea kumpenda (yaani kumsamehe kwa lolote utakaloconfirm hapo baadae juu ya hako katabia) AU kusitisha mapenzi (yaani kumpa talaka anayoitaka)
Akili kumkichwa bro na umshirikishe sana Mungu wako kwenye hayo maamuzi.

kumpenda na mpenda tena sana na wala sina tatizonae kwasaabu najua atazunguka ila atarudi palepale afu kitu kingine mtu anaye mfanya alale nje nisha mfaham tena kitambo tu. ila najiuliza kwanini kaniambia vile?
 
kwanza una umri gani,na huyo mkeo nae ana miaka maingapi?????au broo ashafanyiwa mambo ya kiswahili.....maana i don think hilo ni swala la kukaa chini na kuomba msaada

30 years mke wangu ana25 na ninampenda sana. wala hajanifanyia mambo ya kiswahili nauhakika nahilo. niambie nifanyeje?
 
Kama wimbo wa bushoke vile aisee.
Usimpe bana,si mliahidiana kuvumiliana kwenye shida na raha.
 
Wewe ndo unatatizo tena kubwa sana,huo sio upendo mwenzio anapotea we unatazama tu eti unampenda,kichwa cha nyumba?unamatatizo.
 
huyo mwanamke mwendawazimu kwahiyo alifanya hivyo ili umuulize???na wewe kumpenda mtu ndo hivyo kweli,we unajua alikua wapi na nani....mi naona nyie wote wawili mnahitaji brain check- up and psychological advice,you guys might have those problems

Najua kwamba kukaa bila kumuuliza nitatizo ila wa swahili wanasema ukimchunguza sana bata huto mla. so niliamua kumuacha afanye analojua saabu na mtu ambaye alikuwa akimfanya alale au achelewe kurudi nyumbani nilikuwa nishamfaham. usifikili na matatizo ya akili, hapana nijua ninachokifanya ila nijuliza kwanini anihisi kuwa mi ninademu mwingine?
 
30 years mke wangu ana25 na ninampenda sana. wala hajanifanyia mambo ya kiswahili nauhakika nahilo. niambie nifanyeje?

......haaa! kweli wonders shall never cease!! Khaa! umeanza lini haya mambo? on your wedding nite, au?!
 
Wewe ndo unatatizo tena kubwa sana,huo sio upendo mwenzio anapotea we unatazama tu eti unampenda,kichwa cha nyumba?unamatatizo.

always i think about life not wife but i need her because she has child with me and she gives me joy when I'm sad. I gar no problem mr, you just tell me what to do?
 
Sikia ndugu yangu kama nikimuacha nitaacha wangapi afu pia sipendi mtoto wangu alelewe na mzazi mmoja, napenda apate malezi ya wazazi wote wawili. swala si usukuma

Hapo sio mtoto, mtu hawezi akakulalia nje alafu ye mwenyewe akawa wa kwanza kukudai talaka, Piga chini hiyo mtu la sivyo atakuletea magonjwa hata huyo mwanao akakosa malezi yenu wote wawili.
 
......haaa! kweli wonders shall never cease!! Khaa! umeanza lini haya mambo? on your wedding nite, au?!

Nimeanza tangu nikostandard 4. najua ni kitu ambacho si chakawaida ila i don't need other pussy bro, na kuishi bila mtu kwa umri kama wangu ni kiaina na pia nina wafaham madem vizuri tu. sasa niambie nimpekipigo au niwambie wazazi wake au nifanyeje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom