Jamani ni kweli Dr. Remmy Ongala amefariki?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,083
Wenye hizi habari waniambie jamani nimesikia kuwa Dr. Remmy Ongala amefariki nipeni deatail sina habari zozote kuhusu kifo cha Dr. Remmy Ongala

Last edited by a moderator:
Kafariki na kazika jana! check previous threads and Kicheko.com!, Swahili times ya Da Chemi etc
 
PICHA - Mazishi ya Dokta Remmy Ongala
5228738.jpg

Mazishi ya Dokta Remmy Ongala Friday, December 17, 2010 3:53 AM
Picha za mazishi ya mwanamuziki mkongwe nchini wa muziki wa dansi, Ramazani Mtoro Ongala au maarufu kwa jina la Dokta Remmy ambaye alifariki jumapili akiwa na umri wa miaka 63. Maelfu ya watu walijitokeza kwenye viwanja vya Biafra jana kumuaga mwanamuziki mkongwe nchini wa muziki wa dansi, Dokta Remmy Ongala aliyefariki jumapili kutokana na kuugua muda mrefu ugonjwa wa kisukari.

Dokta Remmy alizaliwa Feb 10. 1947 na alifariki tarehe 12 Dec 2010 na alizikwa jana katika Makaburi ya Sinza jirani na nyumbani kwake.

Gonga Linki chini kwa picha za mazisha ya Dokta Remmy. GONGA HAPA KWA PICHA ZA MAZISHI YA DOKTA REMMY

NIFAHAMISHE .: PHOTO GALLERY :.

http://www.nifahamishe.com/album_preview.aspx?AlbumId=905999
 
siunge google kwanza mkuu
 
Back
Top Bottom