Jamani Ngereja hii siaibu kusikika unapiga kampeni usiku kucha katika clab ya villa

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Mh.Ngereja amesikika usiku wa manane wa kuamkia leo katika villa park night clab akitangaza live kwamba wamchague Jackson Masamaki.Wakazi wa Kirumba wanadai mh.pamoja na kuhutubia mkutano wa adhala jana haikutosha ukaona jukwaa la villa ndo litawashindisha.
 
Mh.Ngereja
amesikika usiku wa manane wa kuamkia leo katika villa park night clab
akitangaza live kwamba wamchague Jackson Masamaki.Wakazi wa Kirumba
wanadai mh.pamoja na kuhutubia mkutano wa adhala jana haikutosha ukaona
jukwaa la villa ndo litawashindisha.

so what?
 
Back
Top Bottom