Jamani ndoto yangu ni Husninyo!

We kloro hebu tutoke tuache kuchakachua sredi ya watu.

Mimi ni Lawyer, ukiona nimechakachua sredi basi ujue hiyo sredi haijafikia qualification ya kuitwa sredi.

halaf hapo "hebu tutoke", pamenipandisha mzuka kweli, twende wapi mpenzi?
 
hapa kuna kaukweli flan bila shaka,wanawake wa wakorofi utawajua tu kwa coment zao!!!
Mi huwa anapenda kupata ukweli, halafu huwa ukweli unauma kwa upande mwingine...............
Sasa kwanini umeandika yeye ni ndoto yako kwenye uzi?
 
Mimi ni Lawyer, ukiona nimechakachua sredi basi ujue hiyo sredi haijafikia qualification ya kuitwa sredi.

halaf hapo "hebu tutoke", pamenipandisha mzuka kweli, twende wapi mpenzi?

hahahahahah, twende kwenye lile jukwaa letu. twiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, nishafika nakusubiri.
 
Jaman ninatatizo la kumfuatilia mdada anayeitwa HUSNINYO! Hasa kwenye coments zake,huyu mdada huwa anakuwaga na majibu yake ya kiaina yaan shortcut,mm huwa najiuliza huyu mdada ana mume au boyfriend kwn kimtazamo ni mwnmke anayependa ligi flan ktk mambo yake! Sasa ndio najiuliza huyu dada anaweza kuishi na mr or boyfrnd? Ni hayo tu!

Me nadhan inferiority complex inakusumbua........ jiamini mkuu.
 
uncle, nafikiri aunt ameshakufikishia proposal langu.

ile ya kwenda mapumzikoni? usijali imeshafika sasa hivi tunafanya logistics....jingine? (ila mapumzikoni sitaki uje sijui na lawyer Kloro wala uporoto...umesikia eeh? Bajeti ndogo)
 
Hahahahahah lol! umeambiwa majibu yako mafupi hahahahah lol! Hebu refusha basi japo kidogo tu :):) Huyu jamaa hata miezi miwili hajamaliza hapa jamvini lakini kishakusoma kiasi cha kukuanzishia uzi!!! :):) labda alikuwa anafuatilia jumbe zako siku nyingi lol! Mie nakuona uko poa kabisa umetulia kama maji ya mtungini :):):) usibadilishe hiyo style yako ya uandishi.

Uko pamoja na mimi kuu, AAA astegemee kila mtu awe na majibu kama ya gf wake ama wyf wake, kama kila mtu ngekua anamwazo kama 333 then maana ya jukwaa haipo!
 
ile ya kwenda mapumzikoni? usijali imeshafika sasa hivi tunafanya logistics....jingine? (ila mapumzikoni sitaki uje sijui na lawyer Kloro wala uporoto...umesikia eeh? Bajeti ndogo)

thank youuuuuuuuuuuuuuu uncle. hao watanifanyia fujo kwanza, na wenyewe sitaki kuwasikia wala nini.
 
ile ya kwenda mapumzikoni? usijali imeshafika sasa hivi tunafanya logistics....jingine? (ila mapumzikoni sitaki uje sijui na lawyer Kloro wala uporoto...umesikia eeh? Bajeti ndogo)
Kamanda unajua nilisuspend mafaili ya MJ1 baada ya kwenda SRM na soulmate wake bila lawyer kuwa na taarifa rasmi?
Husninyo usiseme skukuonya.
 
yaani BAK hii topic nafikiri ni zaidi ya style ya kuandika kwangu. Nway, perception zinatofautiana.

It's true Husninyo, perception of one's behaviour/attitude differs from one person to another. Just keep on doing your thing :):)
 
Back
Top Bottom