Jamani ndoto yangu ni Husninyo!

Triple A

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
766
147
Jaman ninatatizo la kumfuatilia mdada anayeitwa HUSNINYO! Hasa kwenye coments zake,huyu mdada huwa anakuwaga na majibu yake ya kiaina yaan shortcut,mm huwa najiuliza huyu mdada ana mume au boyfriend kwn kimtazamo ni mwnmke anayependa ligi flan ktk mambo yake! Sasa ndio najiuliza huyu dada anaweza kuishi na mr or boyfrnd? Ni hayo tu!
 
Mbona mimi ndo boyfriend wake na tunaishi raha mstarehe?...lol
 
Anaweza ashindwe nini, sasa hii unayoiona hapa unafikiri anakuwa hivohivo kwa bf wake, kule ni sekta ingine, unakuta mtu kama babu asprin na the boss wapoleeee nyuso ndogo kama piriton unajiuliza ni huyuhuyu tunayekutana nae jf?
 
Kweli dunia ina mambo toka kitambo,sa uliogopa nn kumuuliza hayo yote toka hapo awali,kwa msaada wetu ebu 2juze baadhi za majibizano yenu 2takupa jibu msaada zaidi
 
leo hadi mama mkwe wako na baba mkwe watajua small houses zote. kwani husn una apartments ngapi wewe?kha!
 
leo hadi mama mkwe wako na baba mkwe watajua small houses zote. kwani husn una apartments ngapi wewe?kha!

hahahahaha, mkwe apartment yangu moja tu ila si unajua wachawi lazima wawangie. Lol. Nashukuru son wako ni mwelewa maana ningekuwa nishaachika.
 
Anaweza ashindwe nini, sasa hii unayoiona hapa unafikiri anakuwa hivohivo kwa bf wake, kule ni sekta ingine, unakuta mtu kama babu asprin na the boss wapoleeee nyuso ndogo kama piriton unajiuliza ni huyuhuyu tunayekutana nae jf?

hahahahaha, sante blackb.
 
hapa kuna kaukweli flan bila shaka,wanawake wa wakorofi utawajua tu kwa coment zao!!!
 
Back
Top Bottom