Jamani nchi yetu inauzwa live

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Kitendo cha wawekezaji kupewa miaka 10 ya kuchimba mafuta na gesi ndani ya nchi yetu bila kulipa
kodi kwa miaka kumi na serikali hii ya ccm ni kuuza nchi tena kwa bei rahisi, jamani vijana imefika
mahala pa kutoka kwenye sidelines na kuingia mitaani kuwaonyesha watawala hawa kuwa we
don't like what they are doing. Ni nchi gani duniani unaweza kuchukua rasimali zao kwa miaka kumi
for free ????. Serikali yetu inafanya haya kwa faida ya nani jamani ???.
 
Sio free moja kwa moja. Wanapewa fedha nyingi vigogo wa CCM. Ndio maana mikataba yenyewe wanataka iwe siri, and they sign them in hotel rooms overseas (in btween drinks).

Usife moyo. Tukiwasukuma benchi hawa CCM basi tutaweza kubatilisha hiyo mikataba. Katiba yetu inataka Mikataba mikubwa ya kiuchumi iridhiwe na Bunge, na hilo halikufanyika. Ni mikataba batili.

Nchi kama Papua New Guinea ambao hawajasoma kama sisi wana sheria kwamba kwenye mradi wowote wa mafuta na gesi lazima serikali na wazawa wawe na HISA (sio ruzuku) ya angalau 22%. Na kodi ZOTE hulipwa.
 
Tusubiri, Mkulu wa kaya amekwenda huko Papu New Guinea kuchukua uzoefu.
 
Kitendo cha wawekezaji kupewa miaka 10 ya kuchimba mafuta na gesi ndani ya nchi yetu bila kulipa
kodi kwa miaka kumi na serikali hii ya ccm ni kuuza nchi tena kwa bei rahisi, jamani vijana imefika
mahala pa kutoka kwenye sidelines na kuingia mitaani kuwaonyesha watawala hawa kuwa we
don't like what they are doing. Ni nchi gani duniani unaweza kuchukua rasimali zao kwa miaka kumi
for free ????. Serikali yetu inafanya haya kwa faida ya nani jamani ???.

Mradi gani huo?? Wawekezaji gani hao??
 
source ya hii information ni Bungeni jana mheshimiwa zitto alipokuwa akichangia mapendekezo yake kuhusu maswala ya gesi na mafuta na pia iliripotiwa katika gazeti la mwananchi la leo 30/6/2011.
 
Mradi gani huo?? Wawekezaji gani hao??
Siyo hiyo tu. Hata sera ya kilimo kwanza ni kugawa mapande makubwa ya ardhi kwa multi corporations za Marekani, Saudi Arabia, Korea Kusini na Bangladesh. Watanzania kazi yao itakuwa ni kuchota maji tu na kuwa wapagazi wa haya mashirika ya kimataifa. CCM has to go!
 
Nilikuwa nafuatilia tetesi kwa nini China imekuwa inatoa mikopo kiasi kikubwa mfululizo, tangu kiwkwete aingie kipindi hiki cha pili, jibu ni kuwa sasa hivi muokozi wao mkubwa CCM ni China kwa kuikopesha serikali ili ifanye miradi iliyoahidiwa. Cha kushangaza zaidi hiyo miradi kuna rehani za hali ya juu pamoja na madini. Itafika wakati nchi takuwa all sold out au imewekwa rehani.
 
Siyo hiyo tu. Hata sera ya kilimo kwanza ni kugawa mapande makubwa ya ardhi kwa multi corporations za Marekani, Saudi Arabia, Korea Kusini na Bangladesh. Watanzania kazi yao itakuwa ni kuchota maji tu na kuwa wapagazi wa haya mashirika ya kimataifa. CCM has to go!

Kwa wale wa zamani watakumbuka kitu kinaitwa MANAMBA. Serikali ya sasa inatutayarisha taifa lote tuwe MANAMBA kwenye mashamba na migodi nchini kwetu wenyewe. Anakuja MWEKEZAJI toka Ulaya au Asia anasema nataka kuotesha jathropa kwenye hekta elfu hamsini hapa Pwani. Viongozi wa manamba watarajiwa wanahamisha sisi kupisha mradi.

Tutakwenda wapi? Lazima tutabaki kuishi pembezoni mwa mradi, tukipewa kazi za vibarua na manamba.

Kwa wale wasiolewa manamba vizuri, angalieni wafanyakazi wa mashmba ya miwa sehemu kama Moshi.
 
Hii nchi inavyoendeshwa ni kielelezo cha ujinga wetu Watanzania,kuanzia Mkuu wa Kaya anayefikiria kwa kutumia tumbo hadi sisi wananchi tuanoshindwa kumuondoa yeye na chama chake madarakani tusipochukua maamuzi magumu 2015 tutageuka watumwa ndani ya nchi yetu
 
It's about time we all say enough is enough! When you see economic hitmen like Symbion you better beware of the consequences. Mkuu wa kaya is pimping our livelihoods! Should we stay back or rise up against the establishment? I say we fight!
 
Ndugu zetu vijijini hawajui haya ccm imewaroga sasa tuamkeni mbona wa tz hawajielewi hivi wanafikiri mabadiliko yanaanzia chumbani? tutawalipua watu jaman ooh
 
Huu upufian kama vp wataalam wa albadr waingie kazn wamfanye MWEHU mazma c hu wa kuigza anao2letea yy na magamba wenzake
 
Tusubiri, Mkulu wa kaya amekwenda huko Papu New Guinea kuchukua uzoefu.

Mimi sidhani kama tatizo na uzoefu manake tunatakiwa tutumie akili tu. tatizo ni kukosekana kwa dhamira ya kweli ya kuwaendeleza watz. Tatizo kubwa la yote ni alliye kwenye kiti cha juu cha nchi, bila kumbadilisha hakuna lolote hapa
 
Back
Top Bottom