Jamani naumwa

muache tu mpendwa, sie watu wazima tumeishaamua hawezi kuturudisha nyuma........ hata hivyo anasaidia kuchangamsha thread......... ana sehemu yake ya kumshukuru ila tu aangalie asije akaijeruhi keyboard yake........... ni ushauri tu.
Hehehe! Kiongozi sorry! Nilifikiri uko off line!
Ngoja nichape raizoni kabla Akili zako hazijatibuka! Ila kizuri kula na nduguyo bana, acha uchoyo! Mi na wewe ni kitu kimoja! Tusijegombana bure.
 
Naomba ushauri jamani,yani mvua ikinyesha naumwa sana vichomi na pia nabanwa na kifua sana,lkn leo kiuno kinaniuma sana hata sijui tatizo ni nn,nisaidieni

Hivi umeolewa? Kama mbado jaribu kuwa karibu mwenzio ndo tiba yenyewe usikimbilie hospital unajiongezea makemikali bure mwilini.
 
Mpwa ina maana hommie anataka kukata gorofa kwa kiwembe?:D
HEHEHEHE!namshangaa...
nimetumia nguvu na akili ya ziada kumtoa AKILIKUMUKICHWA,sasa mpwaaz anataka kunipiga chenga ya mwili huku namuona:D:D:D
 
basi jpi;i but wapi?
Kwenye baa yoyote yenye bia baridi za kutosha inayouza bia kwa bei iliyorikomendiwa na TBL/SBL. Ofkozi na jiko lenye vya kuchomwa vya kutosha! Taratibu.... Mamushka na AK bado wako online!
 
kiongozi na wewe si ujitafutie wako?:D:Dmbona unataka kunipotezea daireksheni?

ungea hata na maria roza bwana
 
twinushka wats going on here eeeh!!!??? I demand some explanations hapa!!!
 
bado cjaolewa but naamini Mungu atanipa ubavu wangu wa milele
Hivi umeolewa? Kama mbado jaribu kuwa karibu mwenzio ndo tiba yenyewe usikimbilie hospital unajiongezea makemikali bure mwilini.
 
,lkn leo kiuno kinaniuma sana hata sijui tatizo ni nn,nisaidieni
pole sana kwa kuumwa.kiuno kama hukushinda ndani na mwenzio siku nzima wakati wa mvua hii basi ningekushauri ujenga tabia ya kunyoosha viungo kila asubuhi ukiamka.

ugua pole na pona haraka.
 
Hehehe! Kiongozi sorry! Nilifikiri uko off line!
Ngoja nichape raizoni kabla Akili zako hazijatibuka! Ila kizuri kula na nduguyo bana, acha uchoyo! Mi na wewe ni kitu kimoja! Tusijegombana bure.

aah, usijali mkuu, sie kugombana mwiko kabisa......... shemeji yenu mnamfurahisha sana.............. tunashukuru
 
Twini zis pipo bana ni so me hata cjui nn kinaendelea nahisi nimechanganyikiwa kwanza nimezidiwa nao,natoka mm
twinushka wats going on here eeeh!!!??? I demand some explanations hapa!!!
 
bado cjaolewa but naamini Mungu atanipa ubavu wangu wa milele

I see kumbe bado upo upo kwanza!!!
Pasha maji ya moto yawe ya vugu vugu kidogo kisha kanda kwa kitambaa hicho kiuno rudia zoezi hilo kama mara 3 au 4 kisha simama juu chuchumaa,simama juu chumaa rudia zoezi hili kama mara 5 leo bia usinywe.
 
MUULIZE KAKAAKO!
pearl anataka kuonana na mimi NA YEYE ANATAKA AWEPO:D:D:D
Bwashee! Umesahau unammiliki dada yangu kabisa? Sasa vipi tena?

Mpwa ina maana hommie anataka kukata gorofa kwa kiwembe?:D
Hehehe! Hommie sikujua we ni mjumbe wa bodi ya BAKITA! Maneno hayo!

HEHEHEHE!namshangaa...
nimetumia nguvu na akili ya ziada kumtoa AKILIKUMUKICHWA,sasa mpwaaz anataka kunipiga chenga ya mwili huku namuona:D:D:D
:eek::eek:!!

kiongozi na wewe si ujitafutie wako?:D:Dmbona unataka kunipotezea daireksheni?

ungea hata na maria roza bwana
Hehehe! Huyo bana akinipeleka kwenye lile jukwaa lake na umri huu, ugonjwa wa Pearl waweza hamia kwangu! Kiuno changu jamaniiiii! Arambaaa Ammmmmm!

bado cjaolewa but naamini Mungu atanipa ubavu wangu wa milele
Lakini naona mko kwenye hatua nzuri na AK kama hutaleta za kizamani!
 
Back
Top Bottom