Jamani naumwa

si kiivyo but mnavyonichekesha napata nafuu kwakweli but itabidi nipite hsp maana acha tu
Tatizo unacheka sana wakati hujafunga kibwebwe, kiuno kitazidi kukaza. Shauri lako

umeanza kamchezo kaka chief editor eeeeeh!!!!???
Mamushka unakaba mpaka penalti!

a very understanding shemeji I have.....Geoff!!!!
Na Swahiba yangu Akili Kichwani ndo ushamtosa tena?

YAANI leo ndo najua weewe ni mult-profesheni hivoo!!!!!
Bado hujajua profesheni yake nyingine hii: Mzee Wa Logistics!

shem mzima? naona chief editor wa JF yuko kazini......... tena leo kikazi zaidi........... shem tunauguza bwana twin wako sijui masaibu gani kapata leo......... au ndo baraka zenyewe????
:eek::eek::eek:!!!

UMEKULA SENKSI HAPOOOOOOOOOOO!utamuona x-pin,kaizer,fidel,nguli,js,charity,bht,gp,mj1,woooooooooooooote
Hapo kijana umekula Senksi kwa kujali maslahi yangu!

Twinuska yani hawa watu bana so funny,anywei I DO LOVE XPIN VERY MUCH
Thanks my dear. Mee too!

Hommie naona maslahi yangu hapo unayazingatia kama kawaida.....lol nime do ze nidiful tayari
Logistics Zinazingatiwa!

Mbona hukumalizia By DR injinia wa kiuno, sorry viuno........Kaizer?.
Unafanya masihara na Hommie siyo?
 
u pple for sure cnt live without u ea
Tatizo unacheka sana wakati hujafunga kibwebwe, kiuno kitazidi kukaza. Shauri lako

Mamushka unakaba mpaka penalti!

Na Swahiba yangu Akili Kichwani ndo ushamtosa tena?

Bado hujajua profesheni yake nyingine hii: Mzee Wa Logistics!

:eek::eek::eek:!!!

Hapo kijana umekula Senksi kwa kujali maslahi yangu!

Thanks my dear. Mee too!

Logistics Zinazingatiwa!

Unafanya masihara na Hommie siyo?
 
shem mzima? naona chief editor wa JF yuko kazini......... tena leo kikazi zaidi........... shem tunauguza bwana twin wako sijui masaibu gani kapata leo......... au ndo baraka zenyewe????

shem mie mzima....
mmh pole kuuguza jamani
ila twin wangu kwa kudeka na hivi sasa ndo kakupata mmmh but its all part ya mapenzi shem!!!

Kaka yeti huyo ni chief editor wa uhuru na mzalendo so huwa anajisahau saa nyingine kama hivo!!!
 
afu na wewe umenichanganya sana ujue
thank God numekushtukia
tuendeleeeeee..............umenipa nguvu niendelee kuchezea keyboard
mhhh! tena? kwenye red nimepapenda sana.
Pole mgonjwa Pearlu eeh! mwaya!
 
shem mie mzima....
mmh pole kuuguza jamani
ila twin wangu kwa kudeka na hivi sasa ndo kakupata mmmh but its all part ya mapenzi shem!!!

Kaka yeti huyo ni chief editor wa uhuru na mzalendo so huwa anajisahau saa nyingine kama hivo!!!

haha.... muache adeke bwana ndo wakati wenyewe huu. mie bado kijana so no broblem hata mgongoni nitambeba....... yaani chinese style per se.

hyo bro nilidhani chief edita wa JF kumbe uhuru na mzalendo, nasikiaga wakishaedit manews yao wanasomaga wenyewe manake eti nasikia mtaani hayana soko kabisa!!!!!
 
shem mie mzima....
mmh pole kuuguza jamani
ila twin wangu kwa kudeka na hivi sasa ndo kakupata mmmh but its all part ya mapenzi shem!!!

Kaka yeti huyo ni chief editor wa uhuru na mzalendo so huwa anajisahau saa nyingine kama hivo!!!
Aaaah! Huko nlishahamaga nikahamia kwa shigongo. Nako nimepiga chini saizi niko FEMINA!

haha.... muache adeke bwana ndo wakati wenyewe huu. mie bado kijana so no broblem hata mgongoni nitambeba....... yaani chinese style per se.

hyo bro nilidhani chief edita wa Shigongo kumbe FEMINA, nasikiaga wakishaedit manews yao wanaendaga bar kunywa valuu za kutosha!
You are damn right. Umesahau tu jambo moja: KUDUMISHA MILA!
 
Tatizo unacheka sana wakati hujafunga kibwebwe, kiuno kitazidi kukaza. Shauri lako

Mamushka unakaba mpaka penalti!

Na Swahiba yangu Akili Kichwani ndo ushamtosa tena?

Bado hujajua profesheni yake nyingine hii: Mzee Wa Logistics!

:eek::eek::eek:!!!

Hapo kijana umekula Senksi kwa kujali maslahi yangu!

Thanks my dear. Mee too!

Logistics Zinazingatiwa!

Unafanya masihara na Hommie siyo?

jamani Paco taratibu, haya mapenzi ya twin na AK bado machanga mbona hivi biggy?

Afu bibby kukaba si fani yangu lakini kama wewe na uhariri
 
Pole sana pearl

hapo kwenye kiuno, sababu inaweza kuwa stress, especially kama unakaa kwenye the same posture kwa muda mrefu (which I suspect), ni rahisi sana kupata maumivu chini ya uti wa mgongo (muscle spasms). kama haihusiani na mambo yenu ya wanawake sababu inaweza kuwa hiyo, so la kufanya, kama walivosema wengine ni kupata massage asb na jioni, kuna dawa flani hivi ya kupaka hapo (unaweza kuulizia duka la dawa au hosp) utakuwa okay tu. jaribu kuavoid kukaa sehemu moja muda mrefu, na pia angalia kama kuna kitu kinakusumbua kimawazo na hivyo kukusababishia stress, ukisolve.

asante
binamu bwana :D
 
jamani Paco taratibu, haya mapenzi ya twin na AK bado machanga mbona hivi biggy?

Afu bibby kukaba si fani yangu lakini kama wewe na uhariri

Hahaha! Mamushka bana!
Nasubiria ndoa ya AK na Pearl!
Lazima logistics zifanyike; BTW lini utanionyesha tena hiyo sura ya Maria Magdalene? Nimeimisi vibaya!
 
Back
Top Bottom