Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,822
Pole sana pearl
hapo kwenye kiuno, sababu inaweza kuwa stress, especially kama unakaa kwenye the same posture kwa muda mrefu (which I suspect), ni rahisi sana kupata maumivu chini ya uti wa mgongo (muscle spasms). kama haihusiani na mambo yenu ya wanawake sababu inaweza kuwa hiyo, so la kufanya, kama walivosema wengine ni kupata massage asb na jioni, kuna dawa flani hivi ya kupaka hapo (unaweza kuulizia duka la dawa au hosp) utakuwa okay tu. jaribu kuavoid kukaa sehemu moja muda mrefu, na pia angalia kama kuna kitu kinakusumbua kimawazo na hivyo kukusababishia stress, ukisolve.
asante