jamani natamani kwenda Dar lakini naogopa vibaka

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
492
180
hands-free.jpg

jamani natamani kwenda Dar lakini naogopa vibaka na simu yangu
 
Umesema unaitwa fatma eee?nakushauri usiende kama kweli unaipenda sm yako.
 
iache ushagoo kwenu,dar huhitaji simu.utapata huko huko,safari njema ama unaogopa na kukwea chombo cha usafiri?:plane:
 
Usihofie simu....hofia sikio, maana wakati wa kuchukua jamaa watabeba na kipande cha sikio.
 
Back
Top Bottom