Jamani natafuta marafiki humu?nipokeeni

Karibu karibia ewe ng'wana ng'wanza! Mimi naitwa Nyani Nzagamba Ngabu Ng'wana Ntuzu wa Ikungulyabashashi, Bariadi, mkoa wa Simiyu.

Ila wewe mbona kama umetoka kufungiwa leo hii hii? Kama nimekukwaza na kama nimekosea basi niwie radhi. Hisia wakati mwingine hazizuiliki.
 
Kama unataka friendz ndugu nenda fb,hi5, myspace. Ila kama unataka gritical arguments, comments karbu jf
 
Karibu mkuu, ni urguement zako na thread utazoanzisha ndizo zitakupatia marafiki wengi. Mwamisha mola?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom