Jamani naombeni msaada wana jf

mama mkubwa wangu ni mhehe na sijaona makasoro kiasi cha kusema wahehe No! cha muhimu ni kwamba tabia sio ishu ya kugeneralize hasa kwa maisha ya kileo. UNAWEZA KUOA MCHAGGA NA AKAWA mvivu kuliko wavivu wenyewe.
Haa haa, hivi kwanini usingesema mimi ni mhehe kwa upande wa mama!! unaposema mama mkubwa wako, si ndio wamezaliwa tumbo moja na mama yako au? Ungesema sisi ni wahehe lakini hiyo hasira inayosemwa kwetu sijaiona
 
jamani penzi langu limeangukia kwa mtt wa kihehe sina wasifu wao mzuri moja nililopewa kuu ni kwamba wana hasira sana sasa nahitaji kujua mengi jamani kuhusu hawa watu naombeni michango yenu najua wapo wengi mmekutana nao mnaishi nao mnafanya nao kazi nk.
Sasa ndugu yangu umepitiliza, unapompenda mtu usiiangalie KABILA ZIIIIIIIMA, na ninakuhakikishia hutopata kabila hata moja ambalo halina kasoro!!!!!!!! Wewe kama umempenda yeye muangalie yeye kama anakidhi vigezo vyako na kama unampenda kwa dhati na yeye anakupenda kwa dhati, kasoro zingine ndogo ndogo mtarekebishana kadiri siku mnavyoeana. Zaidi muombe Mungu atakusaidia
 
UKIOA UWEKE NA BILI YA SUPER SHAFT NA SUPU YA PWEZA DAILY,WANAPENDA SHAFT SANA NA UKIMNYIMA SHAFTI ANAJINYONGA FASTER
mbaya zaidi anaweza kukunyonga hata wewe
 
kila mtu ameumbwa na silka yake,mwangalie yeye kama yeye na si kabila lake

utamwangaliaje yy kama yy wakati tayari anakabila lake nimtofautishaje wakati silka yake inatokana na kabila lake
 
UKIOA UWEKE NA BILI YA SUPER SHAFT NA SUPU YA PWEZA DAILY,WANAPENDA SHAFT SANA NA UKIMNYIMA SHAFTI ANAJINYONGA FASTER
mbaya zaidi anaweza kukunyonga hata wewe

safi sana mkuu nimekusoma kumbe mbali ya mengineyo wanapenda sana kuchakachuliwa akuna shida ili lakujinyonga kamba nitapiga marufuku om
 
mh!hii thred huwa inanifanya nitamani kuweka tangazo hapa jf lkn ole wake anaefuata.ni heri asingezaliwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom